Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

ww nahisi hata vyombo vya habari hufatilii juzi tu wasafi wametoka kupunguziwa adhabu na tarehe 28 mwezi huu wanarudi hewani
 
Mkuu una mtoto wa kike? kwahiyo unashabikia udhalilishaji kwa watoto wa kike? Je umejiuliza kama ameishalimaliza hilo jambo na Jamhuri? Mkuu alichofanya huyo Rayvan ni kosa la jinai maana yake Jamhuri ndiyo itadili nae na siyo huyo P.Funk.
Mkuu sina mtoto yeyote hapa nipo kunogesha kilinge tu🦧, 😁
 
Na hiyo video ndo imemchanganya harmo anakula kajala kwa kuvushia picha ya paula...akiamini paula is next.
Harmonize anajimaliza kisanaa na anajimaliza kiuchumi, bata lake na kuvimba kwakwe haviendani kabisa na uwekezaji wake.. mda utaongeaa
 
Mkuu una mtoto wa kike? kwahiyo unashabikia udhalilishaji kwa watoto wa kike? Je umejiuliza kama ameishalimaliza hilo jambo na Jamhuri? Mkuu alichofanya huyo Rayvan ni kosa la jinai maana yake Jamhuri ndiyo itadili nae na siyo huyo P.Funk.
Huyo Paula kadhalilishwaje?
 
Maisha ndio haya haya mkuu.. ongeza kombe la kahawa, na mie niweke na ka mchanganyiko ka alkasusu 😀😀😀
Ebu mchek paula humo ndani apashe kidg kahawa mana naona imepoa kidg mkuu😆😆😆 au nikupe hivohivo uligegede kama maji🤣🤣🤣
 
Ebu mchek paula humo ndani apashe kidg kahawa mana naona imepoa kidg mkuu😆😆😆 au nikupe hivohivo uligegede kama maji🤣🤣🤣
Nipo hivyo hivyo, labaridi linachanganya faster zaidi 😀😀😀
 
Alafu watu wamekomaaa kishenzi udhalilishaji, ivi wanajua udhalilishaji hawa, au wanapayuka payuka kama popo wajawazito 😀😀
Watu wanabadilishana vikojoleo vzr tu alafu wengine wanaumia🤣🤣🤣🤣 najua kinachowauma watu n vanny boy kumpelekea moto paula, mana lile toto zuri sanaaaa, mpk kuna jamaa jana alisema kuna watu wanakojolea pazuri🤣🤣🤣🤣
 
Hizi habari za watu wa Dar wengine huwa hatuzielwi bila picha au mkasa mzima ulivyoanza. Weka hiyo video wamikoani tuione mkuu
 
Halafu kwenye zile video..moja alieyekua anarekodi ni Paula mwenyewe huku akiwa anachekelea ....huyu Mmakonde atadhalilika vibaya hatoamini na uzuri WCB japokua hawajasoma ila wana menejiment watu wa mjini na connection kibao sasa muache alete mzaha.
Na kilicho haribu zaidi Ni Kajala kumtuhumu uongo Mobetto.. aisee Kwa brand ya Mobeto na popularity yake hyo issue iki-back fire Mmakonde atajilaumu kukurupuka , ....kingine Paula ana nafas kubwa kwenye hili na kibaya Roho ya Paula ipo imetumzwa kwenye mtimanyongo wa Rayvanyy mtu mbadi , a.k.a chuiiiii.... Leo ni vanny boy yupo na mtoto wa P-Funk Aiiiiiii 😀😀😀... Battle bado ipo in favour of WCB wasafiiiiiiii
Your browser is not able to display this video.
 
Ni wivu tu unawasumbua 😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…