Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

PFunk ana wakati mgumu mno ,
mke anakojolewa hadharani, mtoto anakojolewa hadharani
 
Vimeumana tayr mkuuu
Nilicho jifunza ni kwamba wengi ni maamuma wa sheria. Huyo vanny sijui nini hana hatia. Hana hatia kabisaa! Kwanini? Mosi, Huyo binti amezaliwa 2000 which means kwasasa ana umri wa miaka 20+. Amehitimu kidato cha nne. Kidato cha nne ndio mwisho Wa BASIC EDUCATION, yaani Elimu msingi. Binti wa miaka zaidi ya 18 ni ruksa kuolewa. Hayupo shule, yupo mtaani yaani hasomi. Uanzia wapi kumshitaki huyo Vanny? Fikirieni mara mbili.

Hata hao tcra hawana msingi Wa kisheria kumtia hatian vanny. Kifupi ni kwamba mtoto Wa mdangaji kaanza rasmi kudanga . FULLSTOP!!!
 
tarehe 1 mwezi wa 3 wanarudi hewani.
 
Acha vaany boy ale Raha ,Mmakonde akaze nati zilizolegea , mijitu mingi haijui sie tunaojua tupo upande wa mtu mbadi vanny boy to the last man....wapunguze Tu wivu kama walikosea kuchagua wake ndo imetoka hyo😀😀😀

Your browser is not able to display this video.
 
Mimi ninaona kabisa aliyeandika sio kajala yule ni Chinga,maana post ya chinga na ya kajala inalingana kila kitu hafi herufi.
 
Aisee hii video nimeitazama cjui x10.., aiseee toto hili tamu jamn tuache masihara🤣🤣🤣🤣
 
Kwa hiyo anayebet ni Rayvanny? Ila Kajala habet? Si ndicho unacho maanisha.

Sizani kama kesi ya rayvanny itaamuliwa na jopo la majaji kwani bado haijafikia level hiyo,nina uhakika itaamuliwa na hakimu mmoja tu.
 
Shabiki kindaki ndaki wa Vannyboi[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…