Aisee, kumiliki gari raha sana. Leo nimewapa lift watu 6 kwenye babywoka yangu!

Kwa style ile wahuni tutaendelea kuazimana magari tu [emoji23][emoji23][emoji23]!!! Huwez mfata mtoto mpenda magari kama wity na kigari kemchwa kemchwa namba A au B! Ni kukamata DUE tu
Ntaomba kadi ya gari na kitambulisho cha kura na leseni dadeki, hunipati kirahisi[emoji16][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkinunua wote wanaume tutafaidi wapi.
Japo kutongozea gari nako ni ushamba tu
Kutongozea gari hamna tofauti na kuhonga hela hovyo ili umchanganye demu tu.

Yani gari na pesa ni sawa na mtu anayeenda Kilimanjaro anaweza pitia Bagamoyo au Chalinze ila kufika atafika tu.
 
Uko sahihi
 
Ntaomba kadi ya gari na kitambulisho cha kura na leseni dadeki, hunipati kirahisi[emoji16][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
Hayo maswala muachie trafiki, ukishapanda we ni kuelekea katika kilele cha burudani tu 🤣🤣🤣 full mufindi na ki music laini.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkinunua wote wanaume tutafaidi wapi.
Japo kutongozea gari nako ni ushamba tu
Haaa haaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]

Kumbe kimkakati zaidi[emoji16][emoji16][emoji28]
 
Mmmmh pole mkuu wema wako ulikuponza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…