Kweli asee,Hahahah na huo ulevi wa lift ndio unawavuaga chupi kirahisi sana. Yani demu akishakaa kushoto pale hamna sera utampa aikatae. We muulize anapoenda tu umpeleke utajionea.
Saaana, hala pale mbezi mwisho kuna wanafunzi wanaruhusiwa shule saa 10 alasiri lakini utawakuta wamekaa wanapigastory hadi usiku hawaendi makwao, nadhani wanategea kazi za nyumbaniMmmmh pole mkuu wema wako ulikuponza
Haahaaa[emoji16][emoji16]Kutongozea gari hamna tofauti na kuhonga hela hovyo ili umchanganye demu tu.
Yani gari na pesa ni sawa na mtu anayeenda Kilimanjaro anaweza pitia Bagamoyo au Chalinze ila kufika atafika tu.
Hahahaha acha uoga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daaah... Kumbe mtata stephot amesema kweli, ngoja niwe makini.
Sitoi tena lift kuanzia leo
Hahahaha umezinguaSipiti tena, nilikuja mara moja tu. Halafu kayimukaa amenitisha hapo juu aliposema alifungwa jela kisa kutoa lift.
Sitoi tena lift hadi kufa kwangu
HuhuuuhuuHayo maswala muachie trafiki, ukishapanda we ni kuelekea katika kilele cha burudani tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] full mufindi na ki music laini.
Aaaah wapi ntakugundua tu hata bila kuomba hayo [emoji16]Hilo sio jibu, wengine hawajafanya transfer
Kwamba nifanye mbwembwe kwenye gari la mtu🤣🤣🤣!!! Amnaga hio, natulia kama namuendesha Raisi!Huhuuuhuu
Halafu brazamen akiwa na gari sio lake utajua, mi ntakuangalia wenge lako na mikono yako kwenye sterling zamanii sana nshajua lako au umeazima, siombi hata kadi
Hapo sawa sawa, chukua kitu Maserati utubabaishe mjiniBaby woka nimeachana nayo 7yrs ago, napenda gari kubwa sana.
Nataka badilisha kwani km zimesoma
Uzi wake tunausongesha angalau na yeye ajione ana uzi wenye comments nyingi, linaleta dharau![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kichaa wewe
Sina uwezo huo kwasasa na hilo gari silipendi hata kidogo.Hapo sawa sawa, chukua kitu Maserati utubabaishe mjini
Vina tabia mbayaa sana hasa vya kike, na makondakta ndo wanakamatia pale! We acha tuSaaana, hala pale mbezi mwisho kuna wnafunzi wanaruhusiwa saa10 lakini utawakuta wamekaa wanapigastory hawaendi makwao, nadhani wanategea kazi za nyumbani
Washemzi sana hawa watoto. home wanarudi usiku ukimbeba wanadhani umetoka kumpasha kumbe walaaaaaVina tabia mbayaa sana hasa vya kike, na makondakta ndo wanakamatia pale! We acha tu
HaaahaaaKwamba nifanye mbwembwe kwenye gari la mtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!! Amnaga hio, natulia kama namuendesha Raisi!
Sema magari yenye alarm ndio ya kisenge. Kuna jamaa alishaaibika zile gari zenye beeps. Kila ikisogea metre kadhaa ina beep mwisho inajizima engine [emoji23][emoji23][emoji23]!
Hakupewa maelekezo ya Alarm ngoma ikajamba kwenye foleni hahahah. Alitamani ardhi ipasuke ikabidi ampigie mwenye gari aje amtolee gari jamaa aliaibika sana demu akamtosea mazima.
[emoji16][emoji16][emoji1787] we jamaa weweWashemzi sana hawa watoto. home wanarudi usiku ukimbeba wanadhani umetoka kumpasha kumbe walaaaaa
Nakupinga mzee. Wengi ni roho mbaya tu. Believe me!
Mtoto wa primary darasa la tatu umpakize abadilike kuwa jini??? Waafrika Waafrika
Haahaaa chizi weMatako yako yanamasizi! Pumbavu
Nshaviachaga kita.mboo[emoji16][emoji16][emoji1787] we jamaa wewe
Achana navyo mkuu hizo swaga waachie makonda, wao hawana cha kupoteza[emoji16][emoji16]