Aisee kuna mtu yupo Velvet Sinza hapa, unayaona ninayoyaona sasa hivi? Ni full kufuru aisee

Hahaha hatari sana mkuu.....wengi waliokuwa madada wauza Pottassium na wahudumu enzi hizo "GRIDI" imewaondoa.
 
Na kipindi kile gridi ikikukamata unabaki mifupa in weeks😁

Aisee gridi ni hatari

Sasa hivi ukigundulika una Ngoma teeth hawakuachi wanakumaliza kimya kimya...wadada wauza uchi walioathirika mwarobaini wao ni TEETH tu.

Hata huyo Dotto Tanesco, kama ishu yake Ina ukweli, tumpe miaka 2 tu baada ya hapo lazima watamfukia.

Hii ujumbe save kabisa leo tarehe 03 Agosti 2026 tukutane tarehe 03 Agosti 2028. Kama tukijaliwa uzima wa uhai na Afya, kama Dotto Tanesco atakuwa bado anapumua basi Ile ishu ilikuwa ya uongo au anao lakini hausambazi makusudi
 
kijana wa dar ambaye ni anajiita muhuni hajawahi fika VELVET ni maajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…