Aisee kuna siku natamani nilewe na wadau😅

Aisee kuna siku natamani nilewe na wadau😅

🤣🤣ukajishikia zako tu Mkono
Mkuu nilikuwa club sasa pale club nilipata mdada mzuri ila pombe ilinifanya niwe mpuuzi. Niliwacha yule mdada nikaishia kubeba Malay..a kuna club pale Magomeni maarufu sana kwa watoto wa shule karibu na kanisa
 
Kashapokea mshahara huyu.

Ameshalewa..

Hizo hela za kugawa bure hana wapendwa. Muoneeni huruma. Kesho atashindia mihogo.
Sure? Najua upo nchi za ulaya Dr 😆 ni kweli unasema?😅😅😅
 
Mkuu nilikuwa club sasa pale club nilipata mdada mzuri ila pombe ilinifanya niwe mpuuzi. Niliwacha yule mdada nikaishia kubeba Malay..a kuna club pale Magomeni maarufu sana kwa watoto wa shule karibu na kanisa
🤣🤣Aisee kweli Uliwaka, Magomeni ndio Maeneo yangu hayo
 
Yani tule pombe nitoe pesa watu wale maji , niongee ujinga tu😅😅😅

Hakuna wadau nawakubali kama wa JF 🤣

Kuna wanangu kibao na wasio wasio, wote waulize maswali kuhusu mimi , nitajibu kila swali hapa 🤔
Bila shaka upo bar unapata pombe za mserereko.

Rudi nyumbani , inatosha sasa , ukiendelea utatoa boko.
 
Back
Top Bottom