Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Bwashee tayari, tukutanie Mandela bar hapa Madukani
Nafahamu zilongwa mbali zitendwa mbali 🤣Sio mara zote , usiamini maneno ya mtandaoni😅
Kuna visungura, smart gin, highlife, banana n.k. mkipiga donee mkiwa na elfu kumi mnalewa chakari hadi kujinyea na kujikojoleaPesa za kunywa kila siku zinatoka wapi? Labda uwe unakunywa gongo bwashee 😅😅
Tumeahidiwa mwili mpya, unataka kufa Figo na maini yakiwa mazima ili iweje?Hizo lazima uchakae 🤣
Wasiojulikana na wanaojulikana wanakutana sehemu mojaKivip
Hahaha nakutania sio kwamba nalewa kila siku kuna mda natania tu 🤣
Kulewa kila siku sio vizuri kiafya.
Unajua hata mie huwa nahisi kuna muda ni changamsha jukwaa tu
Mtu unawezaje kulewa kila siku kwanza 😂😂
Shimbony mlakiBwashee tayari, tukutanie Mandela bar hapa Madukani
Nashicha Mndu O RuwaShimbony mlaki
aika mbe habari yafo mwanamaeNashicha Mndu O Ruwa
ngicha mbe kanyiaika mbe habari yafo mwanamae
Yani tule pombe nitoe pesa watu wale maji , niongee ujinga tu😅😅😅
Hakuna wadau nawakubali kama wa JF 🤣
Kuna wanangu kibao na wasio wasio, wote waulize maswali kuhusu mimi , nitajibu kila swali hapa 🤔