Aisee kuna siku natamani nilewe na wadau😅

Aisee kuna siku natamani nilewe na wadau😅

Enrolled nurse (E.N ) tangu lini akawa na hela?
Hahaha mimi ni nesi , wewe kama unataka kuolewa na mume mwenye hela nicheki , tu.


Nawaelewa sana wanawake wenye nenge huwa nawapa kipaumbele sana 😉
 
🤣🤣Aisee kweli Uliwaka, Magomeni ndio Maeneo yangu hayo
Bro kuna yule Masai pale road kaniuzia condom ana niuliza kazi taweza kweli ndugu naona hata kutembea huwezi🤣😂.

Halafu kuna dogo anauza roses 🌹 katikati ya barabara anataka ninunulie Malay..a 🌹 😂🤣
 
Hahaha mimi ni nesi , wewe kama unataka kuolewa na mume mwenye hela nicheki , tu.


Nawaelewa sana wanawake wenye nenge huwa nawapa kipaumbele sana 😉
Enrolled nurse kwa mshahara wa laki 2 unatoboa vipi kama sio kupenda mserereko.
 
Yani tule pombe nitoe pesa watu wale maji , niongee ujinga tu😅😅😅

Hakuna wadau nawakubali kama wa JF 🤣

Kuna wanangu kibao na wasio wasio, wote waulize maswali kuhusu mimi , nitajibu kila swali hapa 🤔
Pakulewea Ndio shida
 
Bro kuna yule Masai pale road kaniuzia condom ana niuliza kazi taweza kweli ndugu naona hata kutembea huwezi🤣😂.

Halafu kuna dogo anauza roses 🌹 katikati ya barabara anataka ninunulie Malay..a 🌹 😂🤣
Hayo maeneo sio tu weka mbali na Watoto hata Watoto wenyewe hawatakiwi🤣😅🤣😂
 
Haha ila usimdhanie labda anazo🤔
Yupo sahihi ni kwel hela za kugawa bure sina😅 ila matumizi yangu binafsi na familia yangu zinanitosha sana tu😅
 
Back
Top Bottom