Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Nafahamu zilongwa mbali zitendwa mbali ๐คฃSio mara zote , usiamini maneno ya mtandaoni๐
Kuna visungura, smart gin, highlife, banana n.k. mkipiga donee mkiwa na elfu kumi mnalewa chakari hadi kujinyea na kujikojoleaPesa za kunywa kila siku zinatoka wapi? Labda uwe unakunywa gongo bwashee ๐ ๐
Tumeahidiwa mwili mpya, unataka kufa Figo na maini yakiwa mazima ili iweje?Hizo lazima uchakae ๐คฃ
Wasiojulikana na wanaojulikana wanakutana sehemu mojaKivip
Hahaha nakutania sio kwamba nalewa kila siku kuna mda natania tu ๐คฃ
Kulewa kila siku sio vizuri kiafya.
Unajua hata mie huwa nahisi kuna muda ni changamsha jukwaa tu
Mtu unawezaje kulewa kila siku kwanza ๐๐
Shimbony mlakiBwashee tayari, tukutanie Mandela bar hapa Madukani
Nashicha Mndu O RuwaShimbony mlaki
aika mbe habari yafo mwanamaeNashicha Mndu O Ruwa
ngicha mbe kanyiaika mbe habari yafo mwanamae
Yani tule pombe nitoe pesa watu wale maji , niongee ujinga tu๐ ๐ ๐
Hakuna wadau nawakubali kama wa JF ๐คฃ
Kuna wanangu kibao na wasio wasio, wote waulize maswali kuhusu mimi , nitajibu kila swali hapa ๐ค