Aisee kuna wanaume wavivu

Ndani ya nusu saa tu uzi huu upo zaidi ya comment 150!
Kiasi gani tupo active kwenye hizi ishu!

Any way type ya shuguli zetu kila siku huwa zinatoa hatima yetu kwenye baadhi mambo likiwemo hilo.

I like may job kwa sababu karibu masaa 10 mpaka 13 kila siku ni mpera mpera! Sidhani kama kuna mwanamke anae weza kunitoa jasho .

Muhimu mazoezi.
 
Nani kasema kisayansi alitambuliki.,?
 
Hahahaha huyu wala sio wa leo wala jana
Ni mtu wangu permanent wa miaka hyo
Ila sasa anavyojitapa kwamba anajua Mambo tupashe kiporo weeeh
Namwangaliaaaaa nabaki yiiiii
.....ooh no kupasha vipori tena, usiseme hivyo bana wengine tuna wivu hadi kwenye id na avatar feki....
 
🤣 kiporo hakihitaji moto mwingi, ila wanawake kwenye hili huwa mnadharau sana kuna best angu mmoja amemsevu jamaa 30 seconds sababu ni hiyo tako 6 chali mpaka kesho kutwa.
Hahah unakubali kwamba 30secs wapo
Sasa kuna wanazi hapa wanadai ni kisima kisima kipana


Sasa kisima kipana na mtu kushindwa kuamka baada ya bao inahusika nini??
 
Watu tupo serious kwa familia mkuu
 
Mshauri apunguze uzito kwa kufanya mazoezi regularly, at least mara3 kwa wiki. Mda wa kufanya mazoezi usipungue 30 minutes,. Mfano kukimbia
Nitamshauri asee maana bado tunawasiliana
 
Nikazi kubwa sana msichukulie poa.
Huwezi simamia ukucha 40mins, wakati unawaza kulipa kodi...Ukimkumbuka baba mwenye nyumba inanywea yenyewe[emoji125][emoji125]
Na huyo unaemla ashakufyonza sna hela na hapo ukimaliza anakuangalia usoni umtoe hela zaidi, yani uwe na nguvu za kumpa hela, za kumlidhisha via sugu, lazima vijana yawatokee ya hivi
 
Pendael nlishakwambia usiwe unapita mitaa ya buguruni ukwamani usiku wa manane. Acha watu wafanye wanachopenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…