Ajabu na kweli: Padri wa kanisa katoliki kaoa mke na anavuta sigara kali!

Kama dini yako inakataza kuzini, kuiba kudanganya na unafanya moja wapo wa hayo mambo, basi huna budi kusubiri hukumu sawa na huyo padri.
 
Kichwa cha habari kinaonesha ni padri mmoja lakini Content inaonesha ni mapadri wawili tofauti. Uongo tu.
 
Padri wa kanisa Katoliki anakaa kwenye maskani yake mtaani! Kajitu hakalijui kanisa Katoliki kana anzisha uzi wa kijinga kuwaaminisha wajinga.
 
MAONI YANGU
Ifike wakati sasa kanisa litambue umuhimu wa matamanio ya mwili kwa wanadamu na kusitisha mpango wake wa muda mrefu wa kuwazuia mapadri kuoa na kutumia vilevi vingine kama watu wa kawaida ilmradi hawavunji amri 10 za Mungu.
Naunga mkono hoja, nilipandisha bandiko kushauri mapadri wa Katoliki waoe, lilifutwa fasta!.
P
 
Dah, mtoto wa kiume kabisa. Vijana mnasikitisha mno.

MAONI YANGU
Ifike wakati sasa kanisa litambue umuhimu wa matamanio ya mwili kwa wanadamu na kusitisha mpango wake wa muda mrefu wa kuwazuia mapadri kuoa
Mbona kama vile kuna muskeli nauona? Upo sawa lakini mkuu? Mbona unajitengenezea ufunge mwenyewe hiyo kina unayoipiga?
 
Kichwa cha habari kinaonesha ni padri mmoja lakini Content inaonesha ni mapadri wawili tofauti. Uongo tu.
Nimeunganisha matuķio mkuu. Kama wewe sio mwanahabari huwezi kutofautisha kati ya heading na content. Subiri wenyewe waje kukuelimisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…