Nini Cuba hata ungesoma Guantanamo huna unalolijua kuhusu mimi na sina Siri yoyote nzito..!! 😹😹😹Tuliosoma CUBA tumegundua kitu ndani ya moyo wako. Umebeba siri nzito maishani mwako kuhusiana na huu uzi.
Iyo pm ilete garage ifanyiwe serviceSis 😥
Najitahidi kukutafuta ila pm yangu ina shida haifunguki…!!
Em toka kule, yote utuletee vidampa hapa..!! Mxieeeeww 😹😹😹Vipi kwa wanaume wenye ushikaji mno? Ile mwanangu sana, je? 😂😂😂😂😂
Wewe km nani tukuletee taarifa zetu?? Punguza shobo basi..!!Binti Sayuni03 Lamomy kwa nini hamkuja kutoa taarifa za kutongozwa na hao mabinti kabla?
Nina mashaka juu yenu.
Ilishapita wala sikutaka mazoea nae..!!Alikupatia namba na umri wake nirushie nikarevange kwa niaba yako kwa kukudhalilisha
😹😹😹 Lizuri liko full package nilihisi jini, tatizo halitaki mume..Majike kama hayo nipasie mim niyagonge yaache hiyo tabia🤒
Nyie majeuri tukiwaambia mnaleta vitu mnavyovijua nyie… hizo chuchu mnazungusha km una search frequency za DW dira ya mchana 😹😹🤣🤣Mbona huwa hamtuambii tuwashike wapi?
Ipo mingi mbona, kuna moja lilikuwa roommate wangu lilikua lisumbufu..!! 😹😹Waooooooh 😂😂😂😂😂😂
Hii imeendaaaaaa
Tunasubri shuhuda zaidi.. na zaidi
Brendaaaaaa activity is really
We cocastic nitakupataje nambieKumekuchaa sasa. Wacha tuone.
😹😹 kwendraaaaaa😆😆😆 uliogopa kusuguliwa kiharage mpka kinukie kama mishikaki
Ndio raha za dunia hizo lamonyKawaida siku hizi sijui shida ni nini?? Kuna mmoja mimi alinitongoza kanizidi umri halafu ni mzuri mpk nikahisi jini..!!
Ningemchekea ss hivi ningekua natolewa cheche kwenye kiharage 😹😹😹
😹😹😹 Yani usagwe kisa biscuit? B hauko serious 🤣Nlichokiona from confession za watu wengi, wadada wasagaji kwa asilimia kubwa wanajua kutongoza wanawake wenzao, kuliko sisi wanaume, mdada msagaji akitongoza mwanamke mwenzake, mara atampelekea biskuti, mara bites, mara chapati, mara hugs mwishowe mdada anaetongozwa hata kama hakua na feelings za ku-sex na same gender, izo feelings zinamjia Lamomy Dr. Mariposa Jane Lowassa cocastic
Rafiki umeadimika sijakuona humu kwa muda, kwema lakini?Kumekuchaa sasa. Wacha tuone.
HahahKawaida siku hizi sijui shida ni nini?? Kuna mmoja mimi alinitongoza kanizidi umri halafu ni mzuri mpk nikahisi jini..!!
Ningemchekea ss hivi ningekua natolewa cheche kwenye kiharage 😹😹😹
Tatizo haibebekiIyo pm ilete garage ifanyiwe service
Inasikitisha na kutikisisha!Nipo Dodoma kibiashara. Nikiwa hapa huwa napenda kula mgahawa mmoja Uhindini unaitwa Chef Asili.
Jana mchana wakati napata lunch, akaja mdada wa umri kati ya 30-34 akakaa meza ya pembeni yangu. Yeye aliagiza wali samaki.
Wakati anaendelea kula, akapita mhudumu wa kiume akamwambia ampe kikaratasi. Alipoletewa, akaandika namba yake ya simu kisha akampa mhudumu aniletee.
Wakati natafakari, ghafla akahamia meza yangu akaanza kunitongoza.
Itaendelea.....