Ajabu; Nimetongozwa na mwanamke mwezangu

Kipindi nipo chuo, nilipangwa hostel na wadada wa 3rd year, naweza kusema walikuwa wamekubuhu kutokana na matendo yao.

Nilikuwa decent, nikawa naogopa hata kushinda room, sikuwa najihisi kuwa comfortable.

Walikuwa wanakuja na washkaji zao wanafanyana mie nikiwa zangu kitanda cha juu nimetulia. Sio mchana sio usiku.

Kuna muda nikawa nawaona wao kwa wao (ke) wanabehave kihasara hasara.. (Nafikiri pia walikuwa wanasagana).

Naona hawakuwa comfortable mie kuwa mule, wakaenda kufanya figisu kwa uongozi uliokuwa unasimamia hostel, sijui hata walisema nini, nikaitwa nikahamishwa, (Hostel hiyo hiyo, ila floor ya juu).

Mie kwangu nilishukuru. Maana wiki moja mule ndani niliona kama nimekaa mwaka.

Maisha haya bwana! Unfortunately siku moja nipo salon Makumbusho dada mmoja wa wale akaingia, sikumwongelesha zaidi ya kuishia kumtazama tu. Sidhani kama hata alinikumbuka.

Cha kushangaza zaidi kwasasa ni rafiki yake mtu ninayemfahamu kwa ukaribu, na wala sikuwahi mdokezea chochote.
 
Umedanganya big time dada. Chef asili mchana wa Mwezi wa Ramadhani uwa hawatoi huduma ya chakula. Wanaanza kutoa huduma za chakula jioni.
 
Pole mtoto mzuri
 
Nyie majeuri tukiwaambia mnaleta vitu mnavyovijua nyieโ€ฆ hizo chuchu mnazungusha km una search frequency za DW dira ya mchana ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
So kweli ni kwa sababu hamsemi,ndio maana tunahangaika,Ila mkisema mambo ya Nakuwa rahisi na hela tutatoa bila kuombwa
 
Inasikitisha sana...
 
Nipe namba yako tuwasiliane au nipe namba ya huyo aliekupa namba tuwasiliane nije niwababue wote wawili tupige 2 kwa 1 tuone unasema kweli au ulitongozwa na mwanaume mwenye jinsia ya kike -shemale
 
Kawaida siku hizi sijui shida ni nini?? Kuna mmoja mimi alinitongoza kanizidi umri halafu ni mzuri mpk nikahisi jini..!!

Ningemchekea ss hivi ningekua natolewa cheche kwenye kiharage ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Ulijikosesha bahati kwa kuhisihisi!

Kuna siku nilijikosesha bahati kwa kuacha kuokota pesa njiani nikihisi za ndagu, tena burungutu hasa!

Sasa hivi hata kama ni jini akijilengesha nafyagia.
 
Eeenh miye kuona kapo ya wanaosaga bado kiukweli, sijui ubize sioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ