figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Samia Suluhu Hassan ametoa shukrani za dhati kwa wakuu wa Nchi na Serikali, viongozi wa kitaifa, wanadiplomasia na jumuiya ya kimataifa, viongozi wa dini na Watanzania wote kwa salamu, dua na faraja zao katika kipindi chote cha majonzi mpaka leo wanapohitimisha siku tatu za maombolezo, kufuatia kufiwa na mume wake, marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan.
Marehemu Hafidh alifariki dunia Septemba 7, 2025 katika hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Zanzibar alipokuwa akipatiwa matibabu ya moyo.
MY TAKE;
Namshauri atulie amalize Eda kwani siku tatu hazitoshi.
Namhakikishia hakuna atakaye mpokonya kiti chake
Wapumzike kwa Amani Watoto wetu walikufa ili Samia akaalie kiti cha Urais.