Huyo Samia akiamua kufuata hiyo dini ya muarabu itambidi aachie urais kisha aolewe mke wa nne halafu akae ndani siku zote asiwe anatoka nje bila kuongozana na mumewe au ndugu wa kiume.hyo ni muislam na anatakiwa afanye uislam unasema nini.anatakiwa atulie .wewe hayo hauyajui ya ache
Kati ya wewe na uislam nani Hana akili na zombie?Huyo Samia akiamua kufuata hiyo dini ya muarabu itambidi aachie urais kisha aolewe mke wa nne halafu akae ndani siku zote asiwe anatoka nje bila kuongozana na mumewe au ndugu wa kiume.
Uislamu unatakiwa umfanye awe zombi asiyekua na akili.