Ajabu: Samia kaanza kuongea na Wanahabari wakati hajamaliza Eda! 🤔

Uislam ni upendo ukiona asiye na upendo jua siyo mwislam
Wagalatia wanafiki sana!! Nyie kwenu muislam hata akiwa mwema bado mtamtukana na kumuita majina kibao mabaya!

Kuna mtu mzuri na muaminifu kama profesa Mussa Asad! Alivyotiwa misukosuko na dikteta magg/ufuli mkawa mnashangilia sana,na kumponda sana wagalatia msio na akili ...
Hata Samia mwanzoni alikuwa Fair,mkasema anamsaliti jiwe kwakuwa Fair sana, sasa amehamua kumuenzi jiwe kwa vitendo
 
Kwa nini mnamlazimisha mtu jinsi ya kufuata dini yake?

Especially kama hajawaaambia anataka kuifuata kihivyo?

Samia angekuwa anataka kufuata masharti ya Uislamu angegombea uRais kweli?

Na kwa nini dini ichukue umuhimu hapo mtu anajiona yeye Rais wa nchi isiyofuata dini?
Wazanzibar wanatushangaa (japo wanafurahia) mwanamke kuwa kiongozi mkuu. Kwenye dini hilo ya kiislam hilo halipo. Huyu mama ushungi kaanza kuvaa juzi , sio mtu wa dini hatuna haja ya kumpangia. Mtu ni Rais akae eda miezi,,
 
Samia Suluhu Hassan ametoa shukrani za dhati kwa wakuu wa Nchi na Serikali, viongozi wa kitaifa, wanadiplomasia na jumuiya ya kimataifa, viongozi wa dini na Watanzania wote kwa salamu, dua na faraja zao katika kipindi chote cha majonzi mpaka leo wanapohitimisha siku tatu za maombolezo, kufuatia kufiwa na mume wake, marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan.

Marehemu Hafidh alifariki dunia Septemba 7, 2025 katika hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Zanzibar alipokuwa akipatiwa matibabu ya moyo.

MY TAKE;
Namshauri atulie amalize Eda kwani siku tatu hazitoshi.

Namhakikishia hakuna atakaye mpokonya kiti chake

Wapumzike kwa Amani Watoto wetu walikufa ili Samia akaalie kiti cha Urais.
View attachment 3666988
Mkubwa hapangiwi.
 
Kicheche anatafuta ukuni
 
Kwa nini mnamlazimisha mtu jinsi ya kufuata dini yake?

Especially kama hajawaaambia anataka kuifuata kihivyo?

Samia angekuwa anataka kufuata masharti ya Uislamu angegombea uRais kweli?

Na kwa nini dini ichukue umuhimu hapo mtu anajiona yeye Rais wa nchi isiyofuata dini?

Siku aliyosema katiba ni kajitabu alisema pia hata biblia na Quran watu hawaziheshimu.
 
Kwa Mala ya kwanza naona watu wasiohusika na uislamu wanapigania sheria za kiislamu, Kwa taarifa yako hata ikitokea Aliyefiwa na mume ni daktari bingwa, Na kuna mgonjwa hospitali, Mfiwa anaruhusiwa kumtibia hata kama yupo kwenye Eda, Kwa kuwa Mh Rais ni kiongozi wa wananchi kuna shughuli zitakazomuitaji yeye anaruhusiwa kuzifanya. Hivyo kama kuna mtu anataka sheria za kiislamu zifuatwe ziko nyingi siyo EDA tu.
 
Inafuatwa Katiba ya nchi, siyo dini yake.
Kweli kabisa , dini ya mtu mwenyewe na huko twendako yaani baada ya kuondoka ktk dunia,kila mtu ataulizwa maswala yake kuhusu dini yake..sisi waislam tunatakiwa tuweke mbele dini kuliko kitu chochote kwani maisha ya kuondoka ktk dunia hii ni mazuri mno kwa ataefuta dini yake kikamilifu ktk dunia hii
 
Wagalatia wanafiki sana!! Nyie kwenu muislam hata akiwa mwema bado mtamtukana na kumuita majina kibao mabaya!

Kuna mtu mzuri na muaminifu kama profesa Mussa Asad! Alivyotiwa misukosuko na dikteta magg/ufuli mkawa mnashangilia sana,na kumponda sana wagalatia msio na akili ...
Hata Samia mwanzoni alikuwa Fair,mkasema anamsaliti jiwe kwakuwa Fair sana, sasa amehamua kumuenzi jiwe kwa vitendo
Mtu mwema hawezi kua hata mtu mmoja. Huyo ni Ibilisi ameua Watanganyika zaidi ya elfu 3
 
Samia Suluhu Hassan ametoa shukrani za dhati kwa wakuu wa Nchi na Serikali, viongozi wa kitaifa, wanadiplomasia na jumuiya ya kimataifa, viongozi wa dini na Watanzania wote kwa salamu, dua na faraja zao katika kipindi chote cha majonzi mpaka leo wanapohitimisha siku tatu za maombolezo, kufuatia kufiwa na mume wake, marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan.

Marehemu Hafidh alifariki dunia Septemba 7, 2025 katika hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Zanzibar alipokuwa akipatiwa matibabu ya moyo.

MY TAKE;
Namshauri atulie amalize Eda kwani siku tatu hazitoshi.

Namhakikishia hakuna atakaye mpokonya kiti chake

Wapumzike kwa Amani Watoto wetu walikufa ili Samia akaalie kiti cha Urais.
View attachment 3666988
Domo refu kama chupa ,kazi umbeya tuuuuuuu!!!!!!
 
Wazanzibar wanatushangaa (japo wanafurahia) mwanamke kuwa kiongozi mkuu. Kwenye dini hilo ya kiislam hilo halipo. Huyu mama ushungi kaanza kuvaa juzi , sio mtu wa dini hatuna haja ya kumpangia. Mtu ni Rais akae eda miezi,,
WAnashangaa kitu gani? Kwenye huu muungabo kuna nchi yeyote ya kidini?
Je mama kuanza kuvaa ushungi juzi kuna fanya asiwe muumini?

Hiyo eda inayosemwa yeye akiamua kuipuuza si inakua kama wstu kupiga pombe, wizi, uongo na vinginevyo?
 
Wagalatia wanafiki sana!! Nyie kwenu muislam hata akiwa mwema bado mtamtukana na kumuita majina kibao mabaya!

Kuna mtu mzuri na muaminifu kama profesa Mussa Asad! Alivyotiwa misukosuko na dikteta magg/ufuli mkawa mnashangilia sana,na kumponda sana wagalatia msio na akili ...
Hata Samia mwanzoni alikuwa Fair,mkasema anamsaliti jiwe kwakuwa Fair sana, sasa amehamua kumuenzi jiwe kwa vitendo
Mzee Makoti tutake radhi tafadhali! Acha chuki binafsi.
 
WAnashangaa kitu gani? Kwenye huu muungabo kuna nchi yeyote ya kidini?
Je mama kuanza kuvaa ushungi juzi kuna fanya asiwe muumini?

Hiyo eda inayosemwa yeye akiamua kuipuuza si inakua kama wstu kupiga pombe, wizi, uongo na vinginevyo?
Kisheria hakuna nchi ya kidini.
Kwa Zanzibar sioni uwezekano wa Rais kuwa mwanamke. Labda CCM iamue.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Wazanzibari wanatushangaa (japo wanafurahia) mwanamke kuwa kiongozi mkuu. Kwenye dini hilo ya kiislam hilo halipo. Huyu mama ushungi kaanza kuvaa juzi , sio mtu wa dini hatuna haja ya kumpangia. Mtu ni Rais akae eda miezi,,
Tanzania ni nchi secular, si ya Kiislamu.

Ukishangaa Tanzania kuongozwa na mwanamke, nakushangaa wewe.

Naona huelewi katiba, huelewi utawala wa sheria, huelewi kuwa Tanzania ni secular.

Kuvaa au kutovaa ushungi ni uamuzi wake.

Mambo ya Eda ni ya Kiislamu, yule anatakiwa kuwajibika kikatiba na kisheria, si Kiislamu.

Hamuelewi wapi?
 
Back
Top Bottom