figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
ok.Samia Suluhu Hassan ametoa shukrani za dhati kwa wakuu wa Nchi na Serikali, viongozi wa kitaifa, wanadiplomasia na jumuiya ya kimataifa, viongozi wa dini na Watanzania wote kwa salamu, dua na faraja zao katika kipindi chote cha majonzi mpaka leo wanapohitimisha siku tatu za maombolezo, kufuatia kufiwa na mume wake, marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan.
Marehemu Hafidh alifariki dunia Septemba 7, 2025 katika hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Zanzibar alipokuwa akipatiwa matibabu ya moyo.
MY TAKE;
Namshauri atulie amalize Eda kwani siku tatu hazitoshi.
Namhakikishia hakuna atakaye mpokonya kiti chake
Wapumzike kwa Amani Watoto wetu walikufa ili Samia akaalie kiti cha Urais.
View attachment 3666988
Nchi za kiisilamu ndizo ziko kwenye mapigano yasiyokwisha, mfano Naijeria wanaopigana kuilinda dini wanashambulia misikiti ya dini yao, ni upendo uliotukuka!Uislam ni upendo ukiona asiye na upendo jua siyo mwislam
Kwa nini mnamlazimisha mtu jinsi ya kufuata dini yake?Samia Suluhu Hassan ametoa shukrani za dhati kwa wakuu wa Nchi na Serikali, viongozi wa kitaifa, wanadiplomasia na jumuiya ya kimataifa, viongozi wa dini na Watanzania wote kwa salamu, dua na faraja zao katika kipindi chote cha majonzi mpaka leo wanapohitimisha siku tatu za maombolezo, kufuatia kufiwa na mume wake, marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan.
Marehemu Hafidh alifariki dunia Septemba 7, 2025 katika hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Zanzibar alipokuwa akipatiwa matibabu ya moyo.
MY TAKE;
Namshauri atulie amalize Eda kwani siku tatu hazitoshi.
Namhakikishia hakuna atakaye mpokonya kiti chake
Wapumzike kwa Amani Watoto wetu walikufa ili Samia akaalie kiti cha Urais.
View attachment 3666988
Nikafikiri unamshauri AJIUZULU kwa kutoa shukrani akiwa Eda, maana wavimba macho hamkawii!Samia Suluhu Hassan ametoa shukrani za dhati kwa wakuu wa Nchi na Serikali, viongozi wa kitaifa, wanadiplomasia na jumuiya ya kimataifa, viongozi wa dini na Watanzania wote kwa salamu, dua na faraja zao katika kipindi chote cha majonzi mpaka leo wanapohitimisha siku tatu za maombolezo, kufuatia kufiwa na mume wake, marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan.
Marehemu Hafidh alifariki dunia Septemba 7, 2025 katika hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Zanzibar alipokuwa akipatiwa matibabu ya moyo.
MY TAKE;
Namshauri atulie amalize Eda kwani siku tatu hazitoshi.
Namhakikishia hakuna atakaye mpokonya kiti chake
Wapumzike kwa Amani Watoto wetu walikufa ili Samia akaalie kiti cha Urais.
View attachment 3666988
Mwisho wa siku tuseme, uislamu una unafiki mno.Kwa mwanamke mwenye hadhi ya urais sharia za kiislam hupelea, hazifuatwi
Mambo ya eda n kwenu wanyonge sio wenye pesa na viongozi, kwan hukumbuki Trump aliingia msikitini Na viatu tena huko huko Saudia nchi yenye uislamu yao
SIO KWELIMambo ya eda n kwenu wanyonge sio wenye pesa na viongozi, kwan hukumbuki Trump aliingia msikitini Na viatu tena huko huko Saudia nchi yenye uislamu yao
ndio maana yake. Anatokea mufti anasema haina shida eda isipofuatwa kwa ukamilifu wake kwa mtu mwenye hadhi ile. mufti ni kama anatumia utashi wake kulegeza sharia za kiislamMwisho wa siku tuseme, uislamu una unafiki mno.
Ila wanyonge wa mtaani ni lazima eda 😂ndio maana yake. Anatokea mufti anasema haina shida eda isipofuatwa kwa ukamilifu wake kwa mtu mwenye hadhi ile. mufti ni kama anatumia utashi wake kulegeza sharia za kiislam
Hata kama n uongo, ww Niamini tuu mkuu 😂Mkuu hata kapicha basi🤣🤣🤣
Mtu kama Samia kujihusisha na uchamungu ni kichekesho. Mtu muuaji, mtesaji, fisadi mwenye roho mbaya eti ana dini!Samia Suluhu Hassan ametoa shukrani za dhati kwa wakuu wa Nchi na Serikali, viongozi wa kitaifa, wanadiplomasia na jumuiya ya kimataifa, viongozi wa dini na Watanzania wote kwa salamu, dua na faraja zao katika kipindi chote cha majonzi mpaka leo wanapohitimisha siku tatu za maombolezo, kufuatia kufiwa na mume wake, marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan.