Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
Wagalatia wanafiki sana!! Nyie kwenu muislam hata akiwa mwema bado mtamtukana na kumuita majina kibao mabaya!Uislam ni upendo ukiona asiye na upendo jua siyo mwislam
Wazanzibar wanatushangaa (japo wanafurahia) mwanamke kuwa kiongozi mkuu. Kwenye dini hilo ya kiislam hilo halipo. Huyu mama ushungi kaanza kuvaa juzi , sio mtu wa dini hatuna haja ya kumpangia. Mtu ni Rais akae eda miezi,,Kwa nini mnamlazimisha mtu jinsi ya kufuata dini yake?
Especially kama hajawaaambia anataka kuifuata kihivyo?
Samia angekuwa anataka kufuata masharti ya Uislamu angegombea uRais kweli?
Na kwa nini dini ichukue umuhimu hapo mtu anajiona yeye Rais wa nchi isiyofuata dini?
Mkubwa hapangiwi.Samia Suluhu Hassan ametoa shukrani za dhati kwa wakuu wa Nchi na Serikali, viongozi wa kitaifa, wanadiplomasia na jumuiya ya kimataifa, viongozi wa dini na Watanzania wote kwa salamu, dua na faraja zao katika kipindi chote cha majonzi mpaka leo wanapohitimisha siku tatu za maombolezo, kufuatia kufiwa na mume wake, marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan.
Marehemu Hafidh alifariki dunia Septemba 7, 2025 katika hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Zanzibar alipokuwa akipatiwa matibabu ya moyo.
MY TAKE;
Namshauri atulie amalize Eda kwani siku tatu hazitoshi.
Namhakikishia hakuna atakaye mpokonya kiti chake
Wapumzike kwa Amani Watoto wetu walikufa ili Samia akaalie kiti cha Urais.
View attachment 3666988
Kicheche anatafuta ukuniSamia Suluhu Hassan ametoa shukrani za dhati kwa wakuu wa Nchi na Serikali, viongozi wa kitaifa, wanadiplomasia na jumuiya ya kimataifa, viongozi wa dini na Watanzania wote kwa salamu, dua na faraja zao katika kipindi chote cha majonzi mpaka leo wanapohitimisha siku tatu za maombolezo, kufuatia kufiwa na mume wake, marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan.
Marehemu Hafidh alifariki dunia Septemba 7, 2025 katika hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Zanzibar alipokuwa akipatiwa matibabu ya moyo.
MY TAKE;
Namshauri atulie amalize Eda kwani siku tatu hazitoshi.
Namhakikishia hakuna atakaye mpokonya kiti chake
Wapumzike kwa Amani Watoto wetu walikufa ili Samia akaalie kiti cha Urais.
View attachment 3666988
Kwa nini mnamlazimisha mtu jinsi ya kufuata dini yake?
Especially kama hajawaaambia anataka kuifuata kihivyo?
Samia angekuwa anataka kufuata masharti ya Uislamu angegombea uRais kweli?
Na kwa nini dini ichukue umuhimu hapo mtu anajiona yeye Rais wa nchi isiyofuata dini?
I wish what you said was true!Uislam ni upendo ukiona asiye na upendo jua siyo mwislam
Kweli kabisa , dini ya mtu mwenyewe na huko twendako yaani baada ya kuondoka ktk dunia,kila mtu ataulizwa maswala yake kuhusu dini yake..sisi waislam tunatakiwa tuweke mbele dini kuliko kitu chochote kwani maisha ya kuondoka ktk dunia hii ni mazuri mno kwa ataefuta dini yake kikamilifu ktk dunia hiiInafuatwa Katiba ya nchi, siyo dini yake.
Mtu mwema hawezi kua hata mtu mmoja. Huyo ni Ibilisi ameua Watanganyika zaidi ya elfu 3Wagalatia wanafiki sana!! Nyie kwenu muislam hata akiwa mwema bado mtamtukana na kumuita majina kibao mabaya!
Kuna mtu mzuri na muaminifu kama profesa Mussa Asad! Alivyotiwa misukosuko na dikteta magg/ufuli mkawa mnashangilia sana,na kumponda sana wagalatia msio na akili ...
Hata Samia mwanzoni alikuwa Fair,mkasema anamsaliti jiwe kwakuwa Fair sana, sasa amehamua kumuenzi jiwe kwa vitendo
Domo refu kama chupa ,kazi umbeya tuuuuuuu!!!!!!Samia Suluhu Hassan ametoa shukrani za dhati kwa wakuu wa Nchi na Serikali, viongozi wa kitaifa, wanadiplomasia na jumuiya ya kimataifa, viongozi wa dini na Watanzania wote kwa salamu, dua na faraja zao katika kipindi chote cha majonzi mpaka leo wanapohitimisha siku tatu za maombolezo, kufuatia kufiwa na mume wake, marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan.
Marehemu Hafidh alifariki dunia Septemba 7, 2025 katika hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Zanzibar alipokuwa akipatiwa matibabu ya moyo.
MY TAKE;
Namshauri atulie amalize Eda kwani siku tatu hazitoshi.
Namhakikishia hakuna atakaye mpokonya kiti chake
Wapumzike kwa Amani Watoto wetu walikufa ili Samia akaalie kiti cha Urais.
View attachment 3666988
WAnashangaa kitu gani? Kwenye huu muungabo kuna nchi yeyote ya kidini?Wazanzibar wanatushangaa (japo wanafurahia) mwanamke kuwa kiongozi mkuu. Kwenye dini hilo ya kiislam hilo halipo. Huyu mama ushungi kaanza kuvaa juzi , sio mtu wa dini hatuna haja ya kumpangia. Mtu ni Rais akae eda miezi,,
Suala la kuua inategemea na mtu anavyolielezaMtu mwema hawezi kua hata mtu mmoja. Huyo ni Ibilisi ameua Watanganyika zaidi ya elfu 3
Mzee Makoti tutake radhi tafadhali! Acha chuki binafsi.Wagalatia wanafiki sana!! Nyie kwenu muislam hata akiwa mwema bado mtamtukana na kumuita majina kibao mabaya!
Kuna mtu mzuri na muaminifu kama profesa Mussa Asad! Alivyotiwa misukosuko na dikteta magg/ufuli mkawa mnashangilia sana,na kumponda sana wagalatia msio na akili ...
Hata Samia mwanzoni alikuwa Fair,mkasema anamsaliti jiwe kwakuwa Fair sana, sasa amehamua kumuenzi jiwe kwa vitendo
Kisheria hakuna nchi ya kidini.WAnashangaa kitu gani? Kwenye huu muungabo kuna nchi yeyote ya kidini?
Je mama kuanza kuvaa ushungi juzi kuna fanya asiwe muumini?
Hiyo eda inayosemwa yeye akiamua kuipuuza si inakua kama wstu kupiga pombe, wizi, uongo na vinginevyo?
Wazenji Watafanya nini ccm ikiwapangia rais mwanamke?Kisheria hakuna nchi ya kidini.
Kwa Zanzibar sioni uwezekano wa Rais kuwa mwanamke. Labda CCM iamue.
Chuki ya vipi mkuu? We mgalatia?Mzee Makoti tutake radhi tafadhali! Acha chuki binafsi.
πMzee Makoti tutake radhi tafadhali! Acha chuki binafsi.
Maggguful aliua wangapi?Mtu mwema hawezi kua hata mtu mmoja. Huyo ni Ibilisi ameua Watanganyika zaidi ya elfu 3
Tanzania ni nchi secular, si ya Kiislamu.Wazanzibari wanatushangaa (japo wanafurahia) mwanamke kuwa kiongozi mkuu. Kwenye dini hilo ya kiislam hilo halipo. Huyu mama ushungi kaanza kuvaa juzi , sio mtu wa dini hatuna haja ya kumpangia. Mtu ni Rais akae eda miezi,,
Sasa hayo maneno yanahusika vipi katika hoja hizi za uzi huu?Siku aliyosema katiba ni kajitabu alisema pia hata biblia na Quran watu hawaziheshimu.