Ajabu: Samia kaanza kuongea na Wanahabari wakati hajamaliza Eda! 🤔

Wala siyo mambo ya katiba na sheria. Ni kweli kisheria Zanzibar sio nchi ya kiislam. Lakini utamaduni wake utauona ni uislam tupu. Hata wakati wa mwezi wa ramadhani etc
Na katika ujumbe wangu nawashangaa wanaolazimisha issue ya eda.
 
Hoja za kulazimisha rais afuate sheria za dini kwenye nchi secular ni ujinga tu.

Samia anapiga mpaka whisky, watamlazimisha asipige kwa kuwa Muislamu?
 
Hoja za kulazimisha rais afuate sheria za dini kwenye nchi secular ni ujinga tu.

Samia anapiga mpaka whisky, watamlazimisha asipige kwa kuwa Muislamu?
Wafuasi wa dini yake watataka kujua kwa kiasi gani muumini wao anafuata sheria za dini. Lakini katika uongozi wa taifa hakuna cha eda Wala ada. By the way hata ningekua Samia utaachiaje nchi miezi yote hiyo
 
Wafuasi wa dini yake watataka kujua kwa kiasi gani muumini wao anafuata sheria za dini. Lakini katika uongozi wa taifa hakuna cha eda Wala ada. By the way hata ningekua Samia utaachiaje nchi miezi yote hiyo
Samia angekuwa anafuata Uislamu hata asingekuwa mgombea mwenza, Samia hajali hayo mambo anagonga zake whisky Ikulu, sasa hawa watu wananishangaza.

Sahih al-Bukhari 4425

64 Military Expeditions led by the Prophet (pbuh) (Al-Maghaazi)

Narrated Abu Bakra:

"During the days (of the battle) of Al-Jamal, Allah benefited me with a word I had heard from Allah's Apostle after I had been about to join the Companions of Al-Jamal (i.e. the camel) and fight along with them. When Allah's Messenger (ﷺ) was informed that the Persians had crowned the daughter of Khosrau as their ruler, he said, "Such people as ruled by a lady will never be successful." "
 
Correct. Ndo maana Kuna comment nilisema Samia hata ushungi alianza alivyopata umakamu wa Rais. Ni vitu havipo kwake na tusimlazimishe.
 
Katiba kwa akili za kina wasira sidhani kama itapatokana. Maana wao ndo ma think tank wa CCM na serikali.
Achana na hao kina Wasira tunawajua, wana interest kuchelewesha katiba kwa maslahi yao ya kisiasa, there is no contradiction there. It is wrong, but there is no contradiction.

Mimi nawazungumzia hawa wananchi wanaodai katiba mpya halafu presumably hapo hapo wanadai Rais akae Eda.

Hivi ndivyo vipengele wanavyofikiria kuviweka katika katiba mpya?

Mbona kama wanadai katiba mpya huku akili zao zimejaa misahafu ya kale?

Hawaelewi hata secularism?

Au wanaotaka Samia akae Eda miezi si wanaotaka katiba mpya?

Au hoja si Eda, Uislamu wala katiba mpya, ni kutaka kumnanga Samia at every opportunity even by contradicting oneself and at the cost of secularism?

Siwaelewi ujinga wao.
 
Wewe hujagundua, Wenzio wanapambana kuonesha kwamba Mwanamke hatakiwi kuwa kiongozi katika kipindi kama hiki,Wewe jiulize sheria zote za uislamu kwanini hawazipiganii? Mbona hawapiganii mahakama ya kadhi? Wote leo wanapambania EDA,Mbona hawapiganii swala? Kuna wakati kiongozi wa kitaifa anakuwa kwenye shughuli ya kiserikali na muda wa swala umefika, Hutamsikia mtu akisema sheria inataka tukaswali, Wote wanahangaika na EDA.
 
We ni mtoto wa kiume r
Tuliza ******
 
Katika post #51 hapo juu nimelisema hili kiaina.

Niliandika hivi.

"Au hoja si Eda, Uislamu wala katiba mpya, ni kutaka kumnanga Samia at every opportunity even by contradicting oneself and at the cost of secularism?"

Nawaambia "Make it make sense please".
 
Hoja za kulazimisha rais afuate sheria za dini kwenye nchi secular ni ujinga tu.

Samia anapiga mpaka whisky, watamlazimisha asipige kwa kuwa Muislamu?
Labda jiulize jambo dogo tu, Kwenye uislamu jambo lililosisitizwa sana ni swala, Yaani kuswali swala tano, Sasa unaweza kukuta kuna shughuli ya kitaifa na muda wa swala umefika, Hivi kiongozi anaweza kusitisha shughuli ili akaswali? Na akifanya hivyo itakuwaje? Sasa sisi wote tunapambania EDA kama vile uislamu wote umejikita kwenye EDA tu.
 
Hilo ndiyo lengo kuu.
 
Ndiyo maana mimi nikasema hapa hoja si Eda wala Uislamu.

Hii ni fursa ya kumnanga Samia tu.

Watu wanatumia nafasi yoyote kumnanga Samia tu, hata pale kumnanga huko kunapo contradict mambo muhimu ya kikatiba na secularism, hawajali. Raha yao ni kumnanga Samia tu.

Well, simtetei Samia. Samia ana mapungufu mengi ya kumnanga. Lakini usimnange at the cost of secularism.

Hapa nia ni kumnanga Samia tu.

Kwa sababu kama hoja ni Uislamu, haitakiwi watu wawe na tatizo kwenye Eda tu. Samia kutaka kuongoza nchi inapingana na misingi ya Uislamu. Kwa hiyo Samia kutaka kuwa rais tu, hayupo kwenye Uislamu kihivyo.

Na kwa nini hata tunaongelea Uislamu kwenye uongozi wa nchi secular?

Nyerere katika hotuba yake moja, akipinga udini katika siasa, alisema nchi yetu haina sharti la dini kwenye uongozi, hata akitokea mtu asiye na dini anaweza kutuongoza, tutatafuta namna ya kumuapisha bila misahafu ya dini.

Sasa tushajua uongozi wa nchi hauna dini, habari za Eda zinatokea wapi?
 
hyo ni muislam na anatakiwa afanye uislam unasema nini.anatakiwa atulie .wewe hayo hauyajui ya ache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…