Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Ndiyo maana mambo yanajiendea tu ili mradi liende!
Wanachokiamua huko hata kama wanajua kina maumivu makali kwa wananchi, wao wanapitisha tu!
Ajali zinatokea, wao ndiyo kwanza wanakuja na viti wakae kuona watu wanavyohangaika pindi ajali ikitokea!
Tukio hili Watanzania kote waliko tumekuwa kitu kimoja kulaani hujuma za viongozi kutelekeza wahanga wa ajali
Chopa iliyombeba Mh Nape kuzungukia vibao alama, haikufanya hivyo kuokoa roho za watu Jana!
Chopa iliyombeba mh January Makamba kuzungukia mto Ruvu kuangalia maji yanakotokea, haikufanya hivyo kuokoa roho za wahanga wa ajali ya ndege Jana!
Tuhitimishe kusema, wananchi Kwa wananchi, viongozi nao wajuane wao Kwa wao!