Ajali katika soka zipo. Goli la Simba ni offside, ilaa mcheza kwao...

Ila wabongo sisi huyo bingwa wa CAF champion's league kama inafuatwa haki basi anabaki na kombe moja tu waaarabu ndio wanaongoza kwa fitna yaani yanga mumepata kichaka cha kujificha.
 
Ukiangalia hapo beki alinyoosha mguu kuucheza mpira ama yeye hakumzuia golikipa kuucheza.?

Acheni wivu utopolo.
 
Sasa kama lile sio goli halali wewe matokeo yako kwenye ile mechi ni ngapi ngapi mkuu?
 
Oscar Oscar umepuyanga Mzee...mtazame beki aliyekuwa karibu na kagere alifanya nn ?ukiona ndio utajua utofauti wa kuwa uwanjani na kuwa mshabiki.
 
Jamaa unajua sana, kama Bado watabisha na hii basi utakuwa ushabiki maandazi
 
.
 
Kwahiyo huyo beki ni opponent?View attachment 2152273
Kaka hii Sheria inajulikana lkn kwa goli la pape hii Sheria haihukumu angalia mpira umekwenda kulia kea mfungaji wakati kipa na meddie walikuwa kushoto, Sheria hiyo inafanya kazi pale mpira unakuwa strait kwa kipa then akawa blocked view na mpinzani.
 
Kama kuruka/kukwepa ni kuingilia mchezo labda alipaswa afanyeje?
 
Alieuka kama kumpoteza kipa,jamaa kaongea ukweli ila sasa Referee kwa haraka asingeweza kubaini hili.
 
Kuna timu haijawahi kupigiwa ule wimbo wa CAF inawauma saaana. Ule wimbo una upekee wake yaani unavopigwa unaonesha ukubwa Wa vilabu ukivitenganisha kbs vile tia maji tia maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…