Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sheria ya mwaka gani?.maana sheria zipo mpya kila siku
Tuwekee wewe law namba 11 unayoijua wewe. Sheria ingekuwa mpya si ingeongezeka udadi nakufikisha 18?Hii sheria ya mwaka gani?.maana sheria zipo mpya kila siku
Kwahiyo huyo beki ni opponent?Ukiangalia hapo beki alinyoosha mguu kuucheza mpira ama yeye hakumzuia golikipa kuucheza.?
Acheni wivu utopolo.
Sasa kama lile sio goli halali wewe matokeo yako kwenye ile mechi ni ngapi ngapi mkuu?Kwahiyo waamuzi huo hawakoseagi pamoja na kutoa maamuzi? Jf ni platform ya kuhabarishana na kuelimishana. Au kwako unadhani ni platform kama ya vijiwe vya kahawa? Na ndio maana wana slogan inayotumika kuwa home of great thinkers. Ni sehemu ya kujadiliana kwa hoja na kujibu kwa hoja. Asa wewe unakuja na ngonjera za kusema goli halali kisa limekubaliwa na refa kana kwamba marefa huwa hawakoseagi. Haya nimekupa sheria inavyosema na mifano unashindwa kujadili hiyo sheria unaruka ruka tu.
Mkuu hii sheria naifahamu lakini haihusiki chochote na goli la Sackho.
Ni vipi Kagere aliweza kublock view ya goalkeeper wakati mpigaji alikuwa upande tofauti, mpira ulipigwa upande tofauti na golikipa alikuwa upande tofauti na alipokuwepo Kagere?
Ni kweli Kagere aliruka ili kuukwepa mpira ambao alihisi ungemlenga lakini ule mpira haukupita pale alipokuwepo Kagere, sasa ni vipi tuuhusishe na kuruka kwa Kagere?j
.Mkuu hii sheria naifahamu lakini haihusiki chochote na goli la Sackho.
Ni vipi Kagere aliweza kublock view ya goalkeeper wakati mpigaji alikuwa upande tofauti, mpira ulipigwa upande tofauti na golikipa alikuwa upande tofauti na alipokuwepo Kagere?
Ni kweli Kagere aliruka ili kuukwepa mpira ambao alihisi ungemlenga lakini ule mpira haukupita pale alipokuwepo Kagere, sasa ni vipi tuuhusishe na kuruka kwa Kagere?
Kaka hii Sheria inajulikana lkn kwa goli la pape hii Sheria haihukumu angalia mpira umekwenda kulia kea mfungaji wakati kipa na meddie walikuwa kushoto, Sheria hiyo inafanya kazi pale mpira unakuwa strait kwa kipa then akawa blocked view na mpinzani.Kwahiyo huyo beki ni opponent?View attachment 2152273
NakaziaWachambuz mavi kunukaa tu hakuna lolote...mmeamka na bahasa za jesemu mnatoa tu uharo..
haya kachunge ng'ombe goli la offside kutoka kwa sako limekuwa goli bora la wikiKwahiyo huyo beki ni opponent?View attachment 2152273
Kama kuruka/kukwepa ni kuingilia mchezo labda alipaswa afanyeje?Kwa sheria za offside, ni kwamba mchezaji akiwa katika eneo la kuotea hapaswi kuuingilia mchezo. Ukiangalia ile mechi, kwanza wakati Sakho anaupiga mpira ule Kagere alikuwa katika eneo la kuotea pili ulivyopigwa mpira ule akauruka.
Hivyo kitendo cha kuuruka ule ni mpira ni kuingilia mchezo.
Mwanamaji
Alieuka kama kumpoteza kipa,jamaa kaongea ukweli ila sasa Referee kwa haraka asingeweza kubaini hili.Hapana.
Hapo mchambuzi amekosea, ametulisha sumu. Mfungaji (Sakho) alipiga mpira iliokwenda kufunga eneo tofauti na alipokuwepo Kegele, sasa Kegele aliingiliaje huo mpira licha ya kuwa off side?
Pili mchambuzi anasema Berkane wana haki ya kulalamika katika hilo, wakati kiuhalisia hilo goli lilipofungwa hakuna mchezaji wala kiongozi yoyote wa Berkane aliyekwenda kulalamika kwa mwamuzi kuachilia walilikubali.
Angetulia kama BwalyaKama kuruka/kukwepa ni kuingilia mchezo labda alipaswa afanyeje?