Ajali Korogwe: Madaktari walipigiwa simu saa nne usiku wakafika saa kumi na moja

Taarifa inasema hospital walifika saa 11 hospital alafu ishu kubwa ni kumdharau DC
Ni sawa kabisa mkuu nikwamba ata mzee angekuwepo bado lingeweza kutokea
Hayo ni madhara ya ukosefu wa nidhamu kazinii na hili linatakiwa kutengenezwa ndani ya taasisi
Taasisi nyingi zina huduma mbovu sababu wanafanya kazi kimazoeya
 
VIPI NA WALE WA AJALI YA PRECISION mbona nao Walichelewa kwanini hawakusimamishwa?
Hata majeruhi wa precision BIMA imewalipa mamilioni. Hao wabarabarani hata mia hawapati. Dunia haipo fair
 
Usinipangie cha kuandika. Magufuli alipanda chuki na anavuna chuki.

Wewe mwenye unataka kuandika aliyofanya Dikteta nawe andika kwa wakati wako
Kama kutokukubaliana na ulichokiandika ni kukupangia cha kuandika ina maana sawa na wewe kuwapangia watu cha kusema maana umewapinga waliomsifia jiwe.... kwenye haya maisha ukitaka kuishi kwa raha acha chuki kupitiliza au mahaba kupitiliza, kila mwanadamu huwa ni lazima afanye mazuri na mabaya ila kwako inaonekana magufuli kafanya mabaya total ambapo kihalisia sivyo. Punguza chuki haitakusaidia.
 
Itakuwa walikuwa tungi
 
Madaktari wazembe wanasubiri watu wafe kwanza alafu wao ndio wajitokeze ili wachukue pesa za Mochwari,
Kweni anayemwita Dr I/C kuja kuona majeruhi ni nani? Nurse i/c on duty? Clinical officer/Dr i/c on duty? DMO yeye ni mtawala zaidi na msaada wake labda ni organization kwenda sekta zingine, nafikiri jambo la muhimu ni kujipima je tumejiandaa kikamilifu kuunda Emergency preparedness team ktk kila wilaya na vifaa vinavyohusika viwepo sio brabra za kisiasa
 
Huyo DC kapata wapi mafunzo ya kufanya Triage? Wanasiasa wafanye siasa na ya madaktari waachiwe Drs, ni kichekesho kuaminisha watu kuwa DC alikuwa anatoa referrals wakati madaktari wengine walikuwepo hospitalini kuhudumia wagonjwa,
 
Kwahiyo walitaka saa hiyohiyo waje kwa njia ya WhatsApp au
 
Wabongo hawajifunzi wala hawakomi

Matukio kama haya yanajirudiarudia tu

Ova
 
Unaandika vitu vya ajabu sana, sijui mawazo yako umeacha wapi.

"Daktari mwenye job description hana activity ya kufanya kwenye accident scene"

Really??

Hata kumfunga bandeji mgonjwa ili kumzuia asipoteze damu nyingi inayoweza pelekea akapoteza maisha hawezi kufanya kwasababu sio description yake🫣🫣

Unatetea uzembe.
 
Ni sawa kabisa mkuu nikwamba ata mzee angekuwepo bado lingeweza kutokea
Hayo ni madhara ya ukosefu wa nidhamu kazinii na hili linatakiwa kutengenezwa ndani ya taasisi
Taasisi nyingi zina huduma mbovu sababu wanafanya kazi kimazoeya
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Inawezekana huyu ni daktari mzembe
 
Ila umekula za uso mpaka umelegea kama kuku kishingo , waeleze madaktari wenzako kuwa jamii inajua upuuzi wao

USSR
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ tena mwingi tu na ndio maana vibe la wananchi lilikua kubwa
 

Ajali ya lori la mafuta Morogoro ilikuwa enzi za JPM, nani aliwajibishwa? Kibaya zaidi hadi waziri mkuu akaunda tume na aliahidi kuweka ripoti hadharani, hadi leo hakuna ripoti wala, hatua zozote.

Tena kama sio Magufuli kulazimisha uzalendo uchwara wakatibiwe hapo muhimbili watu wengi wasingefariki.
 
Yah nimesikia alivotoa ufafanuzi nimeelewa zaidi ila sio alivyosema USSR
 
Sasa walitakiwa wawahi kwenda kwenye ajali au wawahi kwenda kwenye ajali??


Na hata wangewahi kwenye eneo la tukio vipi vitendea kazi na wangejuaje vifaa vingehitajika vya aina ganiZ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…