Ajali Korogwe: Madaktari walipigiwa simu saa nne usiku wakafika saa kumi na moja

Acha uboya uzi wa ile ajari upo kaulize kule huu uzembe unapaswa kukemewa

USSR
kwa hyo wangekuja eneo la tukio kwa miguu? Kama walikuwa hawako zamu na wapo nje ya wilaya? Mrs nan cjui wewe kama vp kamfufue huyo shetan mwenzenu akawatumbue
 
Hii nchi🙌🏼🙌🏼 Kitengo cha emergency hakuna Dr?? #smh
 
Kuandika ulichoandika ni kuoñyesha wewe ni zero bleini.

Madereva wafanye ujinga barabarani halafu lawama ziende kwa madaktari???? Pumbeeeeeervu
 
Ila umekula za uso mpaka umelegea kama kuku kishingo , waeleze madaktari wenzako kuwa jamii inajua upuuzi wao

USSR
Nimekula za uso kivipi wakati post yangu kufika saa hizi Ina likes 19 wakati thread yako ambayo ni main subject ina likes 16?
 
Sawa nimekubali, mazuri ndiyo kama haya ya kujianika kwenye mawe kama kenge baridi.
 
Wewe ni mk×*du!

Hospitali lazima iwe na. Kitengo cha dharula....kama daktari ameajiriwa kuufanya udaktari!

Hiyo kazi nyingine ambayo hawezi kuiacha na kuwahi kuokoa uhai wa watu kwa dharula ni ipi?

Nchi hii kwa sasa tunaipeleka kike kike tu!

Pumbavu zao hao madaktari!

Sasa wacha wakapambane na hali zao mitaani!

Tunao vijana mitaani wamekalia CV"S kwa maelfu!
Watajaza hizo nafasi chap!

Sasa hawa wazembe,unaowatetea wewe Stuxnet wachukuweni wawatumikie nyinyi wapinga Magufuli!

Au wakawe madaktari wa Lissu!

Inawezekana hata wao walikuwa vyeti feki kama wewe Stuxnet

Mleta mada yuko sahihi,kipindi cha ...
Magufuli (R.I.P ) huu upumbavu ulikoma kabisa!

Sasa ni enzi ya Wazembe,Mafisadi na watoto wajingawajinga wa Single Mama!
View attachment 2508985
 

Attachments

  • JamiiForums-689444155.jpg
    115.4 KB · Views: 2
Povu limukutoka ukisikia jina la mwamba huwa unachanganyikiwa sana. Alikufanya nn huyu Baba!??
ama akikuachia kachanga!?
 
Hao madaktari ulitaka waende kwenye eneo la tukio kufanya nini wakati ambulance za kuwaleta hospital zipo!
Hujaelewa, wamefika hospital saa 11 alfajiri, inamaanisha hawakubali Ile dharula
 
Bavicha w
Anahusikaje ikiwa uvccm ndio kusanyiko la vilaza?
 
Dada unachanganya mambo, madaktari wanalaumiwa kwa kuchelewa kufika kituo cha afya na sio eneo la ajali. Kumbuka madaktari wanakaa kota za kituo cha afya. Wamefika kituoni saa 11 alfajiri licha ya kupigwa simu saa nne na kukiri taarifa za ajali wanazo
 
Hakuna daktari aliyeitwa kwenye scene ya accident, waliitwa hospital
 
Kwahiyo hata anonymous ID we unaita Dada utajua kweli taratibu za utumishi wa umma?
 
Hujaelewa, wamefika hospital saa 11 alfajiri, inamaanisha hawakubali Ile dharula
Kajifunze KUANDIKA Ni dharura sio dharula Kama KUANDIKA huwezi he kudadavua Mambo utaweza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…