pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Life is too short to be anything but happyPamoja na kifo chake,tuliobaki tunajifunza nini...???
Hapo ndo dunia inapojidhirihisha kuwa haiko fair[emoji134] [emoji134]Mungu mwacheni aitwe Mungu yani mtu anaishi stress free mpaka kifo...unatoka kula bhata unapata ajali habari inaishia hapo
Wakati kuna wengine wanaugua na kuumwa sana huku hata hela ya matibabu au lishe vikiwa ni shida mpaka unakufa
Tatizo hujui mimi ni mtoto wa mwanamke mwenzio....Yaani hii ni ile tunasema "leo ninalo", haya nakuja nisubirie huko PM, maana na thread tumebaki wenyewe tu[emoji14]
Yes hapo ni palm beach kwenye makutano ya Ali Hassan Mwinyi na Barak Obama road....Hapo ni Palm Beach Mkuu! na kuna report zinasema ajali ilikuwa Palm BEach
Mkuu hapo ni Palm beach. Nilipita hapo muda mfupi tu baada ya ajali. Kama unaujua mji vizuri iangalie hiyo picha kwa makiniMbele ya ubalozi wa ufaransa kama unaelekea moroko hilo eneo ni kabla hujakatiza kwenda leaders club ukitokea mjini
Mkuu hapo ni Palm beach. Nilipita hapo muda mfupi tu baada ya ajali. Kama unaujua mji vizuri iangalie hiyo picha kwa makini
Yes unapita court yard mpaka unapokutana na Ali Hassan Mwinyi road. Nguzo ya kwanza baada ya makutano.maeneo ya Court Yard (Protea) Hotel kuelekea pale kwenye junction mataa eeh?
Yes unapita court yard mpaka unapokutana na Ali Hassan Mwinyi road. Nguzo ya kwanza baada ya makutano.
Ewaaa hapohapo mkuu. Mbele yake kidogo kuna kale kakibanda wanakaa matrafiki kwa kazi yao maalum ya kupiga mabao.Ahaa thanks mkuu. kumbe hapo, ni palm beach kabsa hapo, kuelekea pale mataa ya pili (junction ya kwenda Muhimbili, na kwenda Salender bridge).
Wajuvi wa mji walishaanza kutulisha matango pori humu kuwa eti ajali ili-happen pale kwenye kipande cha kati ya Salender bridge na junction mataa ya kuelekea coco beach.
Wajuvi wengine tena wakaeleza kuwa eti ajali ime-take place pale kwenye kipande cha kati ya junction/Stanbic kuelekea pale Kino makaburi karibia kona ya kwenda leaders.
Basi ilikuwa tafrani humu ndani.
Shukrani mkuu Asprin kwa kutupa info sahihi.
Kwenye Picha na Video inayosambaa Whatsapp naona kitambaa cheupe kwenye Usukani. Kilikuwa cha nini? au tusubiri Majeruhi aje kutuhabarisha zaidi?
Asante kaka nimeshahabarishwa sikuwa makini na hizo alamaMkuu hapo ni Palm beach. Nilipita hapo muda mfupi tu baada ya ajali. Kama unaujua mji vizuri iangalie hiyo picha kwa makini
Msiba uko mbezi, tangi bovuKaka enzi zetu watoto wote wa kishua tulikuwa tunajua wana Soma wapi ila hivi sasa ni vulugu mechi pia tulikuwa tuna Jua wana ishi wapi lakini hii Leo waziri anaishiii Kimara bonyokwa,Chanika ,Kongowe ,Kwa mtogole.kwa mujibu wa hawa wauza sura hapa nilipo ni kuwa msiba uko kinondoni pia ukiwa uliza marehemu alikuwa Ana jishughulisha na niniii hakuna jibu la maana.
Pamoja sana mtani!Asante kaka nimeshahabarishwa sikuwa makini na hizo alama
Hilo nalijua fika na nimekubali kuwa mwelewaTatizo hujui mimi ni mtoto wa mwanamke mwenzio....