Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)



shukrani mkuu.

Kwakweli mimi binafsi kabla ya kukubali huo utetezi maarufu Africa wa 'bahati mbaya' , huwa napima kwanza mazingira ya tukio zima. Waafrica tunapata madhara mengi sana kwa just UZEMBE tu na kusingizia eti bahati mbaya.

Ofcourse kuna baadhi ya matukio/majanga by human ambayo huwa ni result of 'involuntary action(s)'. But matukio/majanga by human ambayo ni result of 'negligence/recklessness' ndo yana-make the majority.

Ona hii mkuu: Daktari mwenye profession kamili kabsa, anaingia theater room kufanya surgery kwa mgonjwa ambaye amekuwa assigned kwake. Badala ya kumpasua mguu (ambacho ndo hasa kinatakiwa kufanyika), yeye anampasua Kichwa!! Hebu imagine hapo mkuu.

Mgonjwa anakufa alafu watu wanaanza ooh jamani ni bahati mbaya tu, mipango ya Mungu!! hahahaa huwa nachoka sana kwakweli
 
Poor Mary namfahamu huyu msichana toka enzi anasoma Aggrey Mbeya, pole sana kwake
 
I second that
 


mkuu hii dhana imeleta shida na vifo vingi sana Africa, kwa kuendelea kwetu kuendekeza huu ujinga na upumbavu tumeshindwa kutatua matatizo mengi ambayo yametufanya tuendelee kuwa masikini na kuachwa nyuma kwa kila kitu na dunia inayokimbia....

KUANZIA ASIA,ULAYA MPAKA AMERICA huwa hakuna kitu kinaitwa bahati mbaya, ila watu wa AFRICA tunaamini kuna bahati mbaya katika uzembe..
Uzembe huwa ni uzembe tu na hakuna namna nyingine,, huwezi ukawa na maisha duni wakati ulipata hela ukatombea, ukalewea na ujinga mwingi halafu ukawaambia watu wewe kuwa na maisha duni ni bahati mbaya, huwezi kuzembea shuleni na ukasumbua wale waliokulazimisha usome kwa bidii halafu siku za usoni mambo yako yakiwa magumu eti ukasema ni bahati mbaya...

hata vifungu vya bible vilishasema mahali "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" pia binadamu amepewa akili ili aitawale dunia...
ukifa kwa uzembe lazima watu wengine waambiwe MAREHEMU ALIKUWA MZEMBE, hii itasaidia watu wasirudie makosa ya Marehemu...
pia uzembe unaweza ukawa haujasababishwa na Marehemu ila kifo cha Marehemu kinaweza kuwa ni matokeo ya uzembe uliosababishwa na mzembe au wazembe wengine....

MKUU, WE ARE IN THE SAME BOAT, LETS WORK HARD....TUSIAMINI KWENYE BAHATI MBAYA, TUSIRUHUSU UZEMBE KWENYE MAISHA YETU...
 
Nikweli ila kuna mengine niyakijinga tunasema haya ili tuliohai tubadili Mienendo yetu MTU unaishi kama hakuna MUNGU maisha gani hayo
 
Inasikitisha sana
Zamani vijana tulikuwa tunawazika wazee ila siku hizi wazee wanatuzika vijana.

RIP
 
Mwanangu Kaveli umeuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!! Mimi namhurumia tu huyo binti aliyekuwamo kwenye hilo gari, ingawa labda yeye naye ndo kachangia hiyo ajali ila MUNGU amponye awe shuhuda kwa wengine!!
 
Ilikuwaje?? Aliipata shida kivipi??
Mkuu jinsi gari ilivyopata mzinga tu na muonekane wa gari yenyewe marehem lazima alipata shida,kwanza hakufunga mkanda so ktk misukosuko ya ajali na kishindo alijikuta(sijui nisemeje maana inaonekana aliipasua airbag ya kwenye sterling kwa uso wake coz kalaza uso kwenye usukani).hizi airbags huwa wanatengenezea kitambaa kigumu kama turubali ila material yake ni ngumu sana sasa kumpasukia mtu usoni sio jambo dogo.
 

uwiiii ukichaa wako haupo kuitetea ccm tu
 
uwiiii ukichaa wako haupo kuitetea ccm tu

Kichaa ni Yule wa Mbeya aliekwenda kuparamia uchi wa kichaa Faiza Ally sasa anadhalilishwa kwny mitandao kwa kutopeleka pesa ya kusuka mtoto wake!
 
Ngoja Nitafute NDIZI Tu Nikajilie Zangu UBWABWA Wa Bure Uliotokana Na Uzembe ULIOTUKUKA Wa Aliyetukusanya.


Mkuu Genta, umenivunja mbavu sana hapa nilipo mkuu. eti 'uzembe uliotukuka'. hahahahaaa

Unaenda na ndizi kabisa ili uwapunguzie bajeti eeh. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…