GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
mbona hao majeruhi hapo hosp wanacheka? au..... RIP
Pengine Anacheka Mara Mwisho Mwisho Mkuu Huwezi Jua!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona hao majeruhi hapo hosp wanacheka? au..... RIP
nimesoma maelezo yako kwa makini sijaona cha kuongeza umemaliza kila kitu! kula like mia 5 mkuu! labda nisema hivi mimi ni muumini mkubwa sana wa ulichoandika mkuu! waafrica ni viumbe wazembe wa ajabu! na mabingwa aidha wa kumsingizia Mungu au kuisingizia bahati mbaya! watu wengi Africa wanakufa kwenye ajali kwa uzembe tu!!
SAUT hakuna disco....
Ok asante sikuwa makini na hizo alama
I second thatMkuu umenikumbusha mbali sana kuhusu utetezi wa kijinga wa sisi waafrica, eti ''BAHATI MBAYA, yaani eti bila kupenda wala kupanga''.
Niliwahi kulumbana kwa hoja kwenye mjadala fulani hivi. Nami pia I am always in the same line of thinking kama wewe mkuu, kwamba hakunaga kitu kinachotokea eti kwa BAHATI MBAYA, hakunaga!
Huwa ni eaither UZEMBE (negligence or recklessness) au MAKUSUDI (deliberately arranged)! Haya ndo mambo makuu mawili yanayosababisha madhara mengi kwa wanadamu, in particular sisi waafrica, mwisho wa picha tunasingizia ooh bahati mbaya.
Akili ikitawaliwa na negligence/recklessness basi hupelekea mtu asicomply with ''duty of care'' kwenye kila action anayotaka kufanya. Pia negligence/recklessness hupelekea mtu akose ''foreseeability'' kwenye kila action anayotaka kufanya.
Mfano mdogo tu: Mtu anakunywa pombe excessively kisha anadrive, tena anadrive speed kali, na ni usiku, na hafungi mkanda!! Huyu akifa kwa ajali tunasema oooh 'bahati mbaya'. what the fckkk!
Au mwingine anaelewa kabsa kuwa tyre zake ni vipara, then anaamsha safari ndefu ya kwenda mkoa. Huyu tyre zake zikiburst akakata kamba, tunaanza kuilaumu 'bahati mbaya'.
Au mwingine anadrive speed kali huku anapapasa paja na ''kupima oil'' hapo seat ya pembeni, sometimes anabadili mkono na kujibu text kwenye simu. Na kuna bata-boys wengine mambulula sana, eti mtu anadrive huku 'ananyonywa koni' na demu.
Kitokee kitu cha ghafula akose control ya gari apate ajali afe, tunailaumu ile ile bahati mbaya. WTF !!
Otherwise, that is what we call 'Poetic Justice'... to be awarded what you deserve as per your action(s)!
Being hell-bound or Paying the price.
Mkuu samurai , nakubaliana kabsa na hoja yako.
Msiba uko mbezi, tangi bovu
Mkuu umenikumbusha mbali sana kuhusu utetezi wa kijinga wa sisi waafrica, eti ''BAHATI MBAYA, yaani eti bila kupenda wala kupanga''.
Niliwahi kulumbana kwa hoja kwenye mjadala fulani hivi. Nami pia I am always in the same line of thinking kama wewe mkuu, kwamba hakunaga kitu kinachotokea eti kwa BAHATI MBAYA, hakunaga!
Huwa ni eaither UZEMBE (negligence or recklessness) au MAKUSUDI (deliberately arranged)! Haya ndo mambo makuu mawili yanayosababisha madhara mengi kwa wanadamu, in particular sisi waafrica, mwisho wa picha tunasingizia ooh bahati mbaya.
Akili ikitawaliwa na negligence/recklessness basi hupelekea mtu asicomply with ''duty of care'' kwenye kila action anayotaka kufanya. Pia negligence/recklessness hupelekea mtu akose ''foreseeability'' kwenye kila action anayotaka kufanya.
Mfano mdogo tu: Mtu anakunywa pombe excessively kisha anadrive, tena anadrive speed kali, na ni usiku, na hafungi mkanda!! Huyu akifa kwa ajali tunasema oooh 'bahati mbaya'. what the fckkk!
Au mwingine anaelewa kabsa kuwa tyre zake ni vipara, then anaamsha safari ndefu ya kwenda mkoa. Huyu tyre zake zikiburst akakata kamba, tunaanza kuilaumu 'bahati mbaya'.
Au mwingine anadrive speed kali huku anapapasa paja na ''kupima oil'' hapo seat ya pembeni, sometimes anabadili mkono na kujibu text kwenye simu. Na kuna bata-boys wengine mambulula sana, eti mtu anadrive huku 'ananyonywa koni' na demu.
Kitokee kitu cha ghafula akose control ya gari apate ajali afe, tunailaumu ile ile bahati mbaya. WTF !!
Otherwise, that is what we call 'Poetic Justice'... to be awarded what you deserve as per your action(s)!
Being hell-bound or Paying the price.
Mkuu samurai , nakubaliana kabsa na hoja yako.
Mkuu naomba unitumie hiyo video..nimeku pm nambaVideo ipo ninayo.Imechukua tukio zima kuanzia gari inaanza kukosa mwelekeo hadi kugonga nguzo. Inatisha sana
Nikweli ila kuna mengine niyakijinga tunasema haya ili tuliohai tubadili Mienendo yetu MTU unaishi kama hakuna MUNGU maisha gani hayoSisi sote niwakosefu kwanamna moja ama nyingine,mmoja mzinzi mmoja mlevi au vyote, mwingine jambazi anaefuata mchawi au vyote,huyu dhulma yule shoga au vyote ilimradi Tu tuwakosefu!
Tumuombe Mungu atuongoze kwenye mambo mema,sifurahishwi na wote waliofurahia kifo cha kelvin!nibinadamu kama sisi na tutamfuata tu siku moja kama si Leo basi kesho.hapa hakuna cha kuchekesha!!!!
Mwanangu Kaveli umeuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!! Mimi namhurumia tu huyo binti aliyekuwamo kwenye hilo gari, ingawa labda yeye naye ndo kachangia hiyo ajali ila MUNGU amponye awe shuhuda kwa wengine!!Mkuu umenikumbusha mbali sana kuhusu utetezi wa kijinga wa sisi waafrica, eti ''BAHATI MBAYA, yaani eti bila kupenda wala kupanga''.
Niliwahi kulumbana kwa hoja kwenye mjadala fulani hivi. Nami pia I am always in the same line of thinking kama wewe mkuu, kwamba hakunaga kitu kinachotokea eti kwa BAHATI MBAYA, hakunaga!
Huwa ni eaither UZEMBE (negligence or recklessness) au MAKUSUDI (deliberately arranged)! Haya ndo mambo makuu mawili yanayosababisha madhara mengi kwa wanadamu, in particular sisi waafrica, mwisho wa picha tunasingizia ooh bahati mbaya.
Akili ikitawaliwa na negligence/recklessness basi hupelekea mtu asicomply with ''duty of care'' kwenye kila action anayotaka kufanya. Pia negligence/recklessness hupelekea mtu akose ''foreseeability'' kwenye kila action anayotaka kufanya.
Mfano mdogo tu: Mtu anakunywa pombe excessively kisha anadrive, tena anadrive speed kali, na ni usiku, na hafungi mkanda!! Huyu akifa kwa ajali tunasema oooh 'bahati mbaya'. what the fckkk!
Au mwingine anaelewa kabsa kuwa tyre zake ni vipara, then anaamsha safari ndefu ya kwenda mkoa. Huyu tyre zake zikiburst akakata kamba, tunaanza kuilaumu 'bahati mbaya'.
Au mwingine anadrive speed kali huku anapapasa paja na ''kupima oil'' hapo seat ya pembeni, sometimes anabadili mkono na kujibu text kwenye simu. Na kuna bata-boys wengine mambulula sana, eti mtu anadrive huku 'ananyonywa koni' na demu.
Kitokee kitu cha ghafula akose control ya gari apate ajali afe, tunailaumu ile ile bahati mbaya. WTF !!
Otherwise, that is what we call 'Poetic Justice'... to be awarded what you deserve as per your action(s)!
Being hell-bound or Paying the price.
Mkuu samurai , nakubaliana kabsa na hoja yako.
Ilikuwaje?? Aliipata shida kivipi??Kuna video nimerushiwa w'app,aloo Dogo shida aliipata.apumzike pema.
Mkuu jinsi gari ilivyopata mzinga tu na muonekane wa gari yenyewe marehem lazima alipata shida,kwanza hakufunga mkanda so ktk misukosuko ya ajali na kishindo alijikuta(sijui nisemeje maana inaonekana aliipasua airbag ya kwenye sterling kwa uso wake coz kalaza uso kwenye usukani).hizi airbags huwa wanatengenezea kitambaa kigumu kama turubali ila material yake ni ngumu sana sasa kumpasukia mtu usoni sio jambo dogo.Ilikuwaje?? Aliipata shida kivipi??
Nimesikitika sana kijana Mdogo kuondoka kwa style hiyo ila ningesikitika zaid kama uchizi,Misifa na Mipombe yake ingekwenda kumaliza maisha ya Wengine wanaofata sheria za Barabarani. Ifike hatua ajali za Walevi ziue walevi kama vile Ngoma ingekuwa inasambaratisha vicheche tu! Mkeo/Mumeo unamuacha unaenda kuparamiwa/a then unaleta ugonjwa home mnaondoka wote mnaacha watoto wanakuja kuteseka na kuishia kutombwa au kufilwa na wahuni
uwiiii ukichaa wako haupo kuitetea ccm tu
Kama amewahi au hajawahi inakuhusu nini gwa kukaja?vipi hakuwahi kumgegeda bibi mwema ?
Kama amewahi au hajawahi inakuhusu nini gwa kukaja?
Ngoja Nitafute NDIZI Tu Nikajilie Zangu UBWABWA Wa Bure Uliotokana Na Uzembe ULIOTUKUKA Wa Aliyetukusanya.