Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,255
Labda Dar nako kuna freeway siku hizi!.Speed 140KMPH unakua unaenda wapi kwa Dar es Salaam hiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda Dar nako kuna freeway siku hizi!.Speed 140KMPH unakua unaenda wapi kwa Dar es Salaam hiyo?
Ni za kwao tu, hata ww unatafuta kwa ajili ya wanao.Hivi ni rich kids au utajiri wa washua wao coz wale wanaosaka wenyewe hawakatiki namna hyo, RIP dogo
Huyu demu kumbe nae ni mshamba eeh? mtu mwenye majonzi anapata wapi nguvu ya kushika simu na kujipiga selfie na kujipost instagram na kuandika caption? nimemtoa akili kweli huyu mpuuzi.Mpaka hapa page ya 4 post ya 70 hakuna yeyote aliyeelezea vizuri kuwa marehemu ni nani na alikuwa na impact gani kiuchumi. Huko insta obviously sitegemei info ya kueleweka kutokana na nature ya watumiaji. Jf ya siku hizi ni jipu sugu linalopaswa kutumbuliwa kwa baruti walah. Anyway Mola akuweke unapostahili marehemu
View attachment 320384
ha hahahaha ..Hahahahaha na kabla hawajaanza kulia wanaji cream kabisa mapoda nini ili makunyanzi yao usoni yasionekane..unafki mtupu mtu ufiwe ukumbuke kujipaka lipstick!
Nimeshangaa sana mkuu huyu Dada Mwenye asili ya Asia ndio kakenua kabisa,wakati ajali imechukua uhai wa MTU!!ata majeruhi anaendelea lakini si kukenua kiasi hiki!!mbona hao majeruhi hapo hosp wanacheka? au..... RIP
kiruuuuNimesikitika sana kijana Mdogo kuondoka kwa style hiyo ila ningesikitika zaid kama uchizi,Misifa na Mipombe yake ingekwenda kumaliza maisha ya Wengine wanaofata sheria za Barabarani. Ifike hatua ajali za Walevi ziue walevi kama vile Ngoma ingekuwa inasambaratisha vicheche tu! Mkeo/Mumeo unamuacha unaenda kuparamiwa/a then unaleta ugonjwa home mnaondoka wote mnaacha watoto wanakuja kuteseka na kuishia kutombwa au kufilwa na wahuni
Ahaaa we jamaa kiboko lazima uunganishe na yale mambo anyway eneo lingine ni ile barabara yakuelekea maisha club ya zamaniLile eneo kutoka Stanbic mpaka njia ya kuingia Leaders litakuwa na tatizo, ajali nyingi za pale ni za usiku na lazima mtu afe
Yaani shosta una maswali!😉 Hakuwa milionea; Ni kijana wa mjini ambae alikuwa karibu sana na ma-so called Bongo Celebrities; hapa naongelea "Lulu", Jack Wolper, Jux...to name a few! . Kijana mdogo sana, Apumzike kwa AmaniOook......RIP kijana.........lakini nataka nijue......alikuwa milionea.....?........
Ha ha haaa hata hapo Kilindoni kuna wengine ni maceleb wa Mapozi na wengine kwa Thadei!!Inaonekana marehemu (apumzike kwa amani) alikuwa ana uwezo wa kuingia bar akanunua bia za laki tatu ndo akawa celeb wa eneo lake la kujidai.
Nchi kubwa hii jamani. Kuna watu tunaishi huku Kilindoni, Mafia.
Mbona huyo manusura, anapiga selfie na ndugu zake halafu wanacheka! Au wamemtoa kafara...!Ajali hii imetokea jijini Dar, karibu na Ubalozi wa Kenya usiku wa kuamkia leo.
Pole sana wafiwa na wote walioguswa na msiba hasa mabinti wauza sura wa mjini (Wadada wa mjini).
Binafsi nimesikitika maana marehemu nimesoma nae japo nilikuwa darasa moja mbele yake.
RIP Kelvin Kaloosh
View attachment 320543
Gari baada ya kupata ajali (Eneo la Tukio)
View attachment 320544
View attachment 320556
Marehemu enzi za uhai wake
View attachment 320545
Majeruhi aliyekuwa na marehemu kwenye gari
kashesho huyu kafa wala hajui hata uchungu wa mauti na kukata roho hakuuhisiR.I.P kijana inasikitisha sana kifo cha ghafla.
naomba kuuliza tu alikuwa ni nani hapa mujini? bilionea au milionea?
kila wakati tunapoamka/kulala tusisahau kuomba sala ya Kifo Chema
Wikiendi iliopita kabla ya hii mbele tu ya hapo kwenye kona ya kuingia Leaders club tumempoteza rafiki/ndugu yetu Eddy[RIP] gari yake[corolla] iligongwa na Subaru Imprezaa ikabonyea ikawa na U-shape, jamaa wa subaru kwa utaalam wangu alikuwa mwendo usiopungua 140kph!!!
Hili eneo ukitokea Selander pamenyooka sana na vijana wakishapiga vyombo usiku wanageuka akina Michael Schumacher ni shida. mshana jr inabidi tufungue thread ya Road Safety humu, vijana na #TeamSubaru #TeamAltezza #TeamMarkX wanateketea kweli kuanzia ijumaa usiku hadi jumapili alfajiri.
Yaani shosta una maswali!😉 Hakuwa milionea; Ni kijana wa mjini ambae alikuwa karibu sana na ma-so called Bongo Celebrities; hapa naongelea "Lulu", Jack Wolper, Jux...to name a few! . Kijana mdogo sana, Apumzike kwa Amani
Alikuwa na demu wake saa kumi usiku wakitoka rhapsody..walikuwa na wenzao wameongozana na ndio hao walompeleka hospital akiwa maiti na wote walikua chakali .. ...sema jingineNani aliyetoa taarifa kwamba marehemu alikuwa anaendesha gari akiwa amelewa?
Tatizo la watu wengi wanpenda sana kuhukumu wenzao kwa makosa ambayo hata wao wanafanya