Ajali mbaya, madereva muwe makini

Dah pale kwenye ule mto gari iliingiaje jamani!


Anyways mwisho wa mwaka huu tuchukue tahadhari [emoji25]
 
Dah...labda kwa vigezo vyako vipya mkuu..maana Kila gari lina kundi lake...na mtengenezaji ana vigezo vyake...ndiyo maana nakwambia pajero ni best performance kwa kundi lake....🤣🤣🤣🤭
Hata kwenye kundi lake bado inasubiri ikikutana na Land Cruiser 80 ama Nissan Patrol Y61.
 
Mkuu ongelea Lancer ila sio hilo dubwana aisee!

Tunaweza kubeti kwenda jino kwa jino Nikaweka kamkweche kangu vs hilo jigari na ntalichapa fasta na kula hela yako na hutaamini kuwa natumia engine yenye 1000cc less than hilo 2.8L
Ushawahi kuendesha au kukutana na ile Pajero ya CC3500 V6 Petrol? Zile ambazo TRA walikuwa nazo 2005? Ukigusa ile utaheshimu Pajero.
 
Ushawahi kuendesha au kukutana na ile Pajero ya CC3500 V6 Petrol? Zile ambazo TRA walikuwa nazo 2005? Ukigusa ile utaheshimu Pajero.
Bado haina uwezo wa kupambana na LC 100 ama Y61. Ni Big SUV ya kawaida sana tena hizi latest ndio nyanya kabisa
 
Plate number hiyo ni shida kwasabb namba 666 ni chapa ya shetani...




 
Hizo gari zina handling mbaya sana ukiwa spidi halafu ghafla ukataka kukwepa kitu au kona kali lazima litake kukutupa. Ila ninacho lipendea suspension zake zinamneso hatari ukiiset kwenye "soft".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…