Ajali mbaya, madereva muwe makini

Ajali mbaya, madereva muwe makini

Sasa mzee umetoka kwny Intercooler umehamia kwny Evo vs Subaru.

Dunia Ina Mengi aisee.
Nacho maanisha Mitsubishi inatengeneza gari zenye performance kubwa sana ukirudi miaka ya nyuma utakumbuka ni aina ya magari yaliyokuwa yanatumika na usalama nchini plus kuna Mitsubishi inaitwa shotgun ukija na v8 unaweza usimuone ni aina za gari wanaita sport utility suv.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom