Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Overloading. Moja ya sababu ya ajali. Bima hawalipi ajali kama hiziitakuwa mbele wawili, kati wanne, nyuma watattu.
Nacho maanisha Mitsubishi inatengeneza gari zenye performance kubwa sana ukirudi miaka ya nyuma utakumbuka ni aina ya magari yaliyokuwa yanatumika na usalama nchini plus kuna Mitsubishi inaitwa shotgun ukija na v8 unaweza usimuone ni aina za gari wanaita sport utility suv.Sasa mzee umetoka kwny Intercooler umehamia kwny Evo vs Subaru.
Dunia Ina Mengi aisee.
Tayari ya gari ilipasuka,ndio chanzo cha ajali.Wasamaria wema wametoa na tairi kabisa kwenye gari
Siku zote tumeshauriwa Kama ni ndugu tunaenda kwenye tukio la mbali tusipande gari moja .R.I.PUtakuta wengi ni wa familia moja.
Mwenyezi Mungu awarehemu.
Kwa hiyo hata nyumba tuwe tunalala tofautitofauti!Siku zote tumeshauriwa Kama ni ndugu tunaenda kwenye tukio la mbali tusipande gari moja .R.I.P