TANZIA Ajali Mbeya: Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora wamefariki dunia

Mbeya ni Mkoa wa Kishirikina, huwa kunatokea ajali zenye utata. Mkoa wa mbeya unahitaji maombi
Wenyeji wa mbeya yanajifanya watakatifu na washika dini, kumbe kifichoni ni mashetan washirikina wakubwa, kumtoa kafara ndugu au hata mtoto wa kumzaa hawaoni shida,

Nje ya ushirikina, serikali hii ya kishenzi imeshindwa kabisa kutatua changamoto za miundombinu,

Mkoa wa mbeya ni tajiri na unachangia pato kubwa kwa taifa, lkn serikali haioni hilo, hawataki kuuendeleza huu mkoa, siku zote tunasema yakiwakuta wao na ndugu zao ndio watakumbuka kutatua hizi kero
 
Una uhakika na unachokiandika?
Ni nchi Gani hiyo itaje
Nilipokuwa Sweden karibia kila siku nilikuwa na tembea barabarani kwa mwaka mzima nilishuhudia ajali siku moja tu tena ni dereva wa kutoka nchi maskini kama sisi huko Asia alimgonga mtu kwa nyuma kwenye round about. Hakuna madhara yaliyotokea kwa mtu isipokuwa ni gari ndo ilichubuka. Kama hiyo haitoshi, kwa Netherlands karibia miezi 6 sasa natembea barabarani nimeona ajali moja tu ilitokea usiku tena dereva alikuwa amelewa baada ya kutoka kwenye event moja ya kula bata usiku. SIsemi kuwa ajali hazipo ila zinatokea kwa msimu kama mvua. Bongo kila week utasikia ajali. Sasa unaweza kujilinganisha na hao?
 
Duu yani ata vieete haionekani kama viete kabisa
 
Unadhani. Wewe si dereva yumkini
 
Positive checks acha zifanye kazi.Kuna mmoja Sasa anaenda kula uteuzi wa DED Igunga chap!
 
Hawa wanasiasa watatumaliza mwaka huu kwa maagano Yao waliyoyafanya na lusifa.wanataka watuuwe watz watawaongoza sijui wanyama!.ccm sio watu wazuri.ili kulinaliza hili watu wa Mungu tumuombe sana ikibidi wafe wao waliofanya haya maagano.
 
Apumzike kwa Amani
 
Washinde kutoa makafala Yao waje na mbinu ipi.kwani hukumsikia mkuu mmoja wa ccm aliposema matrafick wa njia ya mbeya wamezidi wapungunzwe kuanzia hapo Umeona nn.ccm ni mashetani wanachojali ni maslahi Yao tuu.ila nao watakufa tuu.kama malkia Elizabeth amekufa sembuse wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…