AUDITOR OF MAFISADI
Senior Member
- Jan 25, 2012
- 106
- 34
Fanya utafiti wa kutosha kujua vyanzo vikuu vya ajali then mikakati ndio ubuniwe jinsi ya kupunguza ajali
Hiitaji utafiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya utafiti wa kutosha kujua vyanzo vikuu vya ajali then mikakati ndio ubuniwe jinsi ya kupunguza ajali
Sijali matumizi yako mabovu ya R ila naomba kujua uhusiano ya wote uliowataja na ajali za barabarani!
Na nataka kujua kifungu cha sheria ulichorefer ili faini ya dereva aliyehusika kwenye ajali iwe bilioni 10 na ningependa kujua namna ya utekelezaji wa malipo husika ikiwa mtuhumiwa atakuwa amefariki kwenye ajali!
dawa ya hizi ajali ni moja tu,tutembee kwa miguu...
kutoka Dar hadi bukoba
ndio mkuu
dawa ya hizi ajali ni moja tu,tutembee kwa miguu...
kwa hiyo ni upepo wa uchaguzi tu unapita siyo...Ajali za barabarani ni sehemu ya 'mchakato' wa kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba.
dawa ya hizi ajali ni moja tu,tutembee kwa miguu...
we ropoka tu ,hivi unadhani hizi barabara zina ubora kiasi gani?
tunaliangalia suala kimapana zaidi outside the box ,inawezekana ajali hizi hata traffic wala hao munaowataja hawahusiki,kama una uzoefu wa kuendesha magari mikoani utakubaliana na mimiIssue hapa sio barabara mkuu soma vizuri hoja za mleta mada
Kwani ni Ajali zote huwa zinasababishwa na mwendokasi?? Vipi kuhusu umakini wa dereva barabarani??
Ku-overtake kwenye kona au mlima, ku-overtake magari zaidi ya mawili kwa mpigo tena yote yakiwa kwenye mwendokasi, service za mabasi yenyewe lakini pia wakati mwingine ni uzembe tu wa madereva wengine kwa mfano ile ajali iliyosababishwa na Passo hivi majuzi..