Tu
Tujifunze kutoka hili. Kama nchi zilizoendelea Mfano za Scandnavia Maximum speed ni 70 KM/saa na kila section kuna camera kwanini sisi tusiweze. Maisha ya mtu ni ghali yakipotea hayarudi tena!!. Tunakwenda vizuri kwa mabasi makubwa ya mikoani ila sasa ni awamu ya kwa magari yote!! 70KM/saa. No compromise on ones life.
.....ni huzuni kuu..... ila for future tuangalie na hizi "School Bus" za kawaida kila siku,. sheria inasemaje?,... maana nyingine ni mbovu na zinabeba watoto wengi kwa pamoja,. ndio kuna shule ambazo wanazo gari zao za shule ambazo nyingi ni nzuri,.. vipi kuhusu hizi daladala zinazogeuzwa kuwa school bus mida ya asubuhi na jioni?. mikataba ni kati ya mwenye daladala na mzazi shule hapo inajitoa kwanini?, na wao ndio wamekuagiza kwa huyo mtu kwamba ndio wanamtumia
NAOMBA WAZIRI HUSIKA NA WATAALAMU WA VYOMBO VYA USAFIRI WATUSAIDIE KUCHUNGUZA,NA KUTOA MAJIBU YA MASWALI HAYA, NA KUTUNGA AMA KUSIMAMIA SHERIA ZA USALAMA WA VYOMBO VYA USAFIRI KWA WATOTO WA SHULE ZOTE TANZANIA.
MUNGU WAPE NGUVU WAZAZI WA WATOTO HAWA NA UTUSAMEHE SISI WATANZANIA KWA KURUHUSU VIFO HIVI VITOKEE KWA KUTOKUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI, NA USALAMA WA VYOMBO VYA USAFIRI VYA WATOTO WETU MASHULENI.
AMINA.
Ni kweli ile gari nyuma yote nzima. Inaonekana kama wangefunga mikanada wengi wangepona. Nahisi walimwagwa pamoja wakati inapinduka. Mungu awalaze pema peponi. Ila siku ya kufa ikifika hakuna kinachokumbukwa.Kwa muonekano wa ile gar,ni dhahir hawa watoto hawakufunga mkanda,maana haijabondeka saana kwa nyuma..meana walio kaa nyuma wangeweza kusalimika kwa asilimia kubwa
Ana maanisha inaweza kuburst.hiyo ndio ajali tutapata wa kuwalaumu SUMATRA.Kama ajali haina kinga mbona unavaa condom?
Hiyo ni dimension nyingine mkuu!!kuna jamaa mmoja alikuwa asafiri na ndege wakati amekaa yeye na familia yake wakiangalia TV utabiri wa hali ya hewa (baada ya habari kama kawa)ikasemekana hali ya hewa itakuwa mbaya,mama yake jamaa akamsihi mwanae aahirishe safari na kweli akaahihirisha, asubuhi yake "breaking news"ile ndege imeanguka hakuna aliyepona, mama mtu akakimbilia chumbani kwa mwanae huku akiwa na furaha isiyokuwa na kifani wakati anamuamsha kijana wake ili ampe habari za ile ndege jamaa haamki kumbe saa nyingi jamaa katangulia mbele ya haki.Hizi kauli zinanifanya nisimwamini Mungu wako.. Ati bwana alitoa, Bwana ametwaa, una maana huyo Mungu ndo kaua
Doh aisee kweli siku yako ikifika hamna kitakacho kuzuia hata ukijifungia ndaniHiyo ni dimension nyingine mkuu!!kuna jamaa mmoja alikuwa asafiri na ndege wakati amekaa yeye na familia yake wakiangalia TV utabiri wa hali ya hewa (baada ya habari kama kawa)ikasemekana hali ya hewa itakuwa mbaya,mama yake jamaa akamsihi mwanae aahirishe safari na kweli akaahihirisha, asubuhi yake "breaking news"ile ndege imeanguka hakuna aliyepona, mama mtu akakimbilia chumbani kwa mwanae huku akiwa na furaha isiyokuwa na kifani wakati anamuamsha kijana wake ili ampe habari za ile ndege jamaa haamki kumbe saa nyingi jamaa katangulia mbele ya haki.
Ni kauli za kidini ambazo hazina mashiko. Kuna ufahamu zaidi ya hiyo kauli ambao ningependa kuufaamisha uma, lakini nachelea kubadilisha MADA.Hizi kauli zinanifanya nisimwamini Mungu wako.. Ati bwana alitoa, Bwana ametwaa, una maana huyo Mungu ndo kaua
Ndio maana alisema ni mawazo yake. Unaweza kuchangia hoja yako but co kumshambulia. Hekima ni bora zaidi!Huwezi kusema it could have been avoided wakati huna hata fact moja ya mazingira ya ajali.
Post nzima unauliza maswali, walifunga mikanda hawakufunga? Dereva ana uzoefu au hana? Walikuwa mwendo gani? Hujui fact yeyote ya ajali. How on earth can you say "it could have been avoided"?
Naamini kuna uwezekano wa kutoa hoja au kumrekebisha mtu pasipo kushambulia imani, kabila, elimu n.k yake. Hapo ndio unapoonyesha ukomavu wa kubishana kwa hojaNi kauli za kidini ambazo hazina mashiko. Kuna ufahamu zaidi ya hiyo kauli ambao ningependa kuufaamisha uma, lakini nachelea kubadilisha MADA.