Ni kweli magari yamekuwa mengi lakini sio kwamba ndio sababu ya ajali kuwa nyingi !! Swali langu ni moja tu-: Je madereva kugongana uso kwa uso huwa inasababishwa na magari kuwa mengi barabarani au ni uzembe tu wa madereva husika ?! Dereva wa gari A ana macho na anakutana na dereva wa gari B naye pia ana macho ni kitu gani kinachosababisha gari wanazoziendesha zigongane uso kwa uso ??!! Jibu nililonalo mimi ni kwamba mmoja wao au wote Wawili huwa hawazitumii akili zao inavyotakiwa wanapoendesha magari yao !! Na hiyo mara nyingi husababishwa na kuamini ulevi fulani fulani unampa ujasiri na nguvu awapo barabarani huyo dereva !!
Nimeshaendeshwa na madereva wa aina hiyo mara nyingi huwa najiuliza hivi huyu dereva ana akili kweli au ni punguani ?! Siku moja nimepanda basi kutoka dar liendalo dodoma spidi aliyokuwa anaenda nayo dereva sehemu zile hazina tochi ni km 120 tulipokaribia dodoma pale kwenye mteremko mkali pale karibu na uwanja wa sherehe za nanenane gari iko spidi 120 dereva akatoa gia gari ikawa neutral tunashuka huo mteremko nilimwangalia usoni nikasema kimoyomoyo jamaa anaenda kutuchinja nilisali sala zote ninazozijua !! Sasa hao ndio miongoni mwa madereva wetu wa kisasa !!Kuendeshwa kwenye magari ya wawili hao ni suala la muda tu.
Haya yote mara nyingi yanatokea kwa sababu za kishirikina. Kuna namna wanapumbazwa hawa maderema maana haiwezekani dereva ajitoe mhanga akijua kuwa nae anaweza kupoteza maisha.1. Kulikoni dereva kuendesha gari akiwa haoni waziwazi anakokwenda?
2. Kulikoni dereva kuendesha gari bila kujali hali ya miundo mbinu alipo?
Hao ni wazembe tu huwa hawana muda wa kuchukua tahadhari nia zao huwa ni kufika haraka anapokwenda sio kufika salama anapokwenda !!Haya yote mara nyingi yanatokea kwa sababu za kishirikina. Kuna namna wanapumbazwa hawa maderema maana haiwezekani dereva ajitoe mhanga akijua kuwa nae anaweza kupoteza maisha.
Wengi huwa wanalalamika kwamba hawana mikataba ya kazi !!Udereva ni proffesional kama kazi zingine tu ,sema madereva wengi tanzania wanaifanya kazi yao unprofessional
Ova
Mengine husababishwa na madereva kulinda profile za kampuni Kwa kuwahi kufika bila kuangalia usalama1. Kulikoni dereva kuendesha gari akiwa haoni waziwazi anakokwenda?
2. Kulikoni dereva kuendesha gari bila kujali hali ya miundo mbinu alipo?
Mengine husababishwa na madereva kulina profile za kampuni Kwa kuwahi kufika bila kuangalia usalama
Haya yote mara nyingi yanatokea kwa sababu za kishirikina. Kuna namna wanapumbazwa hawa maderema maana haiwezekani dereva ajitoe mhanga akijua kuwa nae anaweza kupoteza maisha.
Dar to Moro Dodoma singida, mwanza to arushaTatizo la ajali za Tanzania ni barabara kuwa ndogo,halafu magari ni mengi.Kinachotakiwa kifanyike ni kupanua barabara zote kuu,Dar to Tunduma, Dar to Mwanza, Dar to Arusha, Dar to Mtwara.Hizo njia kuu zikishatanuliwa, tutakuwa tumeokoa vifo vya ajali kwa asilimia 90
Wengi huwa wanalalamika kwamba hawana mikataba ya kazi !!
Kabisa !Ni kweli wengi hawana mikataba ya kazi lakini wasikilize waajiri wao walivyo na malalamiko nao.
Hawayathamini magari waliyokabidhiwa. Wezi wa spare, mafuta, pesa za nauli nk.
Kwa ujumla hiyo biashara ni mfano wa biashara mbatata.
Ushauri wa bure wangejaribu graduates wakawalipa vizuri kungeweza kuwa na tofauti.
Kabisa !
Mfano ile njia ya Dar to Moro ilibidi zijengwe njia hata sita, au wawape wawekeza wajenge mabarabara mengine ya kulipia, isitoshe hawajengi kwa hela zao kwani wanaweze kukopa kutoka mabenk ya kimataifaDar to Moro Dodoma singida, mwanza to arusha
Mkuu uko sahihi sana kwenye miundombinu. Kunatakiwa highways za maana zenye kutenganisha barabara ya kwenda na kurudi kwa maana ya ukuta katikatu. Hizi ajali za kugongana uso kwa uso zitapungua sana au hazitokuwepo kabisa.Hii nchi wenye elimu wanabezwa Sana , Ila ujinga ndo tatizo kubwa , umaskini pia , huwez kusafr more than 800 km Kwa basi , dunia za wenzetu hapo ni tren za umeme au aircraft , miundo mbinu mibovu na isiyokidhi , two lanes Kwa highway ni graveyard
Kwa huu udereva wa kisasa na hawa madereva spidi wa kisasa madereva wa mashindano ya magari ukiwajengea barabara nzuri ndio watachinja watu mabarabarani kila siku !! Mark my word tatizo lao kubwa ni spidi na kuamini kwamba ajali zote ni mipango ya Mungu tu kwahiyo yeye awapo kwenye usukani ni kukanyagamafuta tu Mungu yupo kama ajali haikupangwa haiwezi kutokea na kama imepangwa itatokea tu kwahiyo kanyaga mafuta twende !! Na huwa wanaambizana ukiwa muoga ndio utapata ajali !!Mfano ile njia ya Dar to Moro ilibidi zijengwe njia hata sita, au wawape wawekeza wajenge mabarabara mengine ya kulipia, isitoshe hawajengi kwa hela zao kwani wanaweze kukopa kutoka mabenk ya kimataifa
Ajari zitakwishaje wakati wengine wanafanya kazi kwa kutumia mazingaombwe?amesoma kwa kutumia mazingaombwe? Gari Ina mazingaombwe?anaendesha biashara kwa kutoa sadaka kwa miungu?Ukweli n mchungu lakini tufike mahali tuuseme hata kama unauma.
Mengi yamesemwa kuhusu ajali miaka nenda rudi, lakini ajali ziko pale pale.
Bahati mbaya mzizi wa tatizo umekuwa hausemwi kwa kujua au kutokujua.
"Tatizo letu kuu kimsingi ni ujinga ndugu zangu."
1. Kulikoni dereva kuendesha gari akiwa haoni waziwazi anakokwenda?
2. Kulikoni dereva kuendesha gari bila kujali hali ya miundo mbinu alipo?
Pana haja ya kurekebisha viwango vya elimu angalau kwa kuanzia, madereva wa mabasi na malori.
Kwanini kutokuwatumia wahitimu wa vyuo vikuu kuendesha mabasi?
Kwanini kama ilivyo kwingine kama kiwango cha juu cha mwendo ni 80km/h, isiiwe hivyo kwa vyombo vyote vya moto barabarani?
Kwa kuzingatia haya tu, ajali zitakwisha.
Serikali inao wajibu.
swala hapa si ujinga bali ni upuuzi tu.tatizo kubwa ni 1.barabara zetu kutokidhi viwango kwa maana ya ufinu wa hizo barabara na 2.madereva kutojali sheria za barabarani.mwaka jana mwezi nane 2023 nilikuwa nasafiri kwenda dar lkn tulipofika dodoma ilikuwa tayari usiku kama saa mbili na nusu usiku.wakati tunaondoka dodoma kuelekea dar dereva alikuwa anaatempt kuovrtake magari yaliyokuwa mbele yake mara kwa mara mpaka abiria tukamgombeza sasa huo si upuuzi tu wa hao madereva.Ukweli n mchungu lakini tufike mahali tuuseme hata kama unauma.
Mengi yamesemwa kuhusu ajali miaka nenda rudi, lakini ajali ziko pale pale.
Bahati mbaya mzizi wa tatizo umekuwa hausemwi kwa kujua au kutokujua.
"Tatizo letu kuu kimsingi ni ujinga ndugu zangu."
1. Kulikoni dereva kuendesha gari akiwa haoni waziwazi anakokwenda?
2. Kulikoni dereva kuendesha gari bila kujali hali ya miundo mbinu alipo?
Pana haja ya kurekebisha viwango vya elimu angalau kwa kuanzia, madereva wa mabasi na malori.
Kwanini kutokuwatumia wahitimu wa vyuo vikuu kuendesha mabasi?
Kwanini kama ilivyo kwingine kama kiwango cha juu cha mwendo ni 80km/h, isiiwe hivyo kwa vyombo vyote vya moto barabarani?
Kwa kuzingatia haya tu, ajali zitakwisha.
Serikali inao wajibu.
Ajali hazina kinga katika mazingira yoteHizi unilateral assessment ndizo tatizo letu kubwa ambapo bila utafiti wowote mtu ana mahitimisho kama yote:
1. Ajali nyingi tatizo liko kwenye common sense kutofautiana baina ya watu.
2. Common sense ni common kulingana na kiwango cha elimu ya mtu. (Labda kama si Kwa Tanzania ambako ni exception).
Chuo kikuu, kwangu umekuwa mfano tu, kwani hawa ni watu ambao wapo hawana kazi na wanaweza kuzifanya kazi hizi kwa ubora zaidi.
"Ni wazi kuwa msomi hata akilima nyanya atalima kwa ubora zaidi."
3. Speed 120km/h barabarani zimeruhusiwa majuzi juzi. Barabara zote kwa Tanroads zilikuwa 80km/h kwa magari yote Kwa mujibu wa wajenzi wa barabara.
Hawa wenye miendo isiyokuwa na ukomo ni kisababishi kingine cha ajali hadi kwa wasiohusika.
Ajali zina kinga katika mazingira yote, na huo ndiyo ulio msingi wa hoja.
Naunga mkono hojaHuna huja za msingi.
Zaidi ya 80% ya ajali ni ama dereva kukosa umakini au barabara mbovu/ nyembamba. Hebu mfikirie dereva ambae hapumzika vizuri halafu anapewa kuendesha gari toka bukoba mpaka Dar. Angalia muda wa ajali. Wanachoka. Bado madereva hawapimwi uwezo wao wa macho kuona mchana na wa usiku. Wengi tunaona vizuri mchana ila usiku taabu. Mamlaka ziamue safari ambazo ni lazima wawepo madereva 2 kila basi. Mfano
Dar to songea
Dar to Bukoba
Dar to Musoma
Dar to sumbawanga
Dar to Mpanda
Na kuwe na ukaguzi wa magari na vehicle inspection itolewe