Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninasema 80km/h kwa sababu ndiyo iliyokuwa specified na Tanroads kabla ya Kamanda Muslim kuja na zake za kipolisi.Kwann umesema 80 na sio 70 ama 90 ama 100
Aliekwambia 80 hupati ajali nani
Shida inaanzia kwenye kuwa na jamii isiyowajibika. Na jamii kukosa uzalendo. Zipo Sheria nyingi sana kulinda ajali zisitokee lakini zinakiukwa kwa sababu ya rushwa mfano gari la abiria linapata ajali Saa Saba za usiku inamaana dereva kavunja Sheria hakupaswa kuendesha gari muda huo, pili Kuna traffic sehemu alipaswa kutoruhusu gari kuendelea na safari. Lakini pia abiria wenyewe wanaona sawa tuuu. Matatizo mengi husababishwa na kutowajibika na kukosa uzalendo
Dar to SongeaTatizo la ajali za Tanzania ni barabara kuwa ndogo,halafu magari ni mengi.Kinachotakiwa kifanyike ni kupanua barabara zote kuu,Dar to Tunduma, Dar to Mwanza, Dar to Arusha, Dar to Mtwara.Hizo njia kuu zikishatanuliwa, tutakuwa tumeokoa vifo vya ajali kwa asilimia 90
Waruhusu watu wawekeze kwenye usafiri wa Reli, watu waingize treni za kisasa,nayo itapunguza ajali,wao wawe wajenga miundo mbinu tu, lakini siyo kwa hii selikali ya CCM inayofikiliaga uje uchaguzi ili waibe kura
Changamoto kubwa ni miundombinuUkweli n mchungu lakini tufike mahali tuuseme hata kama unauma.
Mengi yamesemwa kuhusu ajali miaka nenda rudi, lakini ajali ziko pale pale.
Bahati mbaya mzizi wa tatizo umekuwa hausemwi kwa kujua au kutokujua.
"Tatizo letu kuu kimsingi ni ujinga ndugu zangu."
1. Kulikoni dereva kuendesha gari akiwa haoni waziwazi anakokwenda?
2. Kulikoni dereva kuendesha gari bila kujali hali ya miundo mbinu alipo?
Pana haja ya kurekebisha viwango vya elimu angalau kwa kuanzia, madereva wa mabasi na malori.
Kwanini kutokuwatumia wahitimu wa vyuo vikuu kuendesha mabasi?
Kwanini kama ilivyo kwingine kama kiwango cha juu cha mwendo ni 80km/h, isiiwe hivyo kwa vyombo vyote vya moto barabarani?
Kwa kuzingatia haya tu, ajali zitakwisha.
Serikali inao wajibu.
Hoja ya msingi ni ipi ndugu?Huna huja za msingi.
Zaidi ya 80% ya ajali ni ama dereva kukosa umakini au barabara mbovu/ nyembamba. Hebu mfikirie dereva ambae hapumzika vizuri halafu anapewa kuendesha gari toka bukoba mpaka Dar. Angalia muda wa ajali. Wanachoka. Bado madereva hawapimwi uwezo wao wa macho kuona mchana na wa usiku. Wengi tunaona vizuri mchana ila usiku taabu. Mamlaka ziamue safari ambazo ni lazima wawepo madereva 2 kila basi. Mfano
Dar to songea
Dar to Bukoba
Dar to Musoma
Dar to sumbawanga
Dar to Mpanda
Na kuwe na ukaguzi wa magari na vehicle inspection itolewe
Changamoto kubwa ni miundombinu
Mbona kuna nchi hawana hizi speed limits watu wanapwiyanga tu na hawana ajali nyingi kama sisi
Tutanue barabara zetu angalau tuwe na mbili kwenda mbili kurudi na wajitahidi kuweka taa za solar angalau kima KM 1 taa moja haijalishi ni wapi.
Mfano barabara ya Tanga kuja Msata , Msata Chalinze na hata Morogoro-Dodoma ni majanga tupu. Sasa hivi kapite Mwanza-Shinyanga sijui kuna ujenzi gani pale unaendelea yani hatari hatari hatari
Hizo ninazozijua mimi lakini zipo kibao
Ukweli n mchungu lakini tufike mahali tuuseme hata kama unauma.
Mengi yamesemwa kuhusu ajali miaka nenda rudi, lakini ajali ziko pale pale.
Bahati mbaya mzizi wa tatizo umekuwa hausemwi kwa kujua au kutokujua.
"Tatizo letu kuu kimsingi ni ujinga ndugu zangu."
1. Kulikoni dereva kuendesha gari akiwa haoni waziwazi anakokwenda?
2. Kulikoni dereva kuendesha gari bila kujali hali ya miundo mbinu alipo?
Pana haja ya kurekebisha viwango vya elimu angalau kwa kuanzia, madereva wa mabasi na malori.
Kwanini kutokuwatumia wahitimu wa vyuo vikuu kuendesha mabasi?
Kwanini kama ilivyo kwingine kama kiwango cha juu cha mwendo ni 80km/h, isiiwe hivyo kwa vyombo vyote vya moto barabarani?
Kwa kuzingatia haya tu, ajali zitakwisha.
Serikali inao wajibu.
Hii ndiyo comment yenye Akili..ufike muda safari ndefu isizidi km 400 inatosha lkn kutembea zaidi ya km 1300 ni majanga Tu hata Ile Sheria ya kuendesha mabus usiku ndiyo risks kubwa na serikali ni Bora wasiruhusu, suluhisho la ajali za barabarani ni kutumia train za umeme Tu kama nchi zilizoendeleaHii nchi wenye elimu wanabezwa Sana , Ila ujinga ndo tatizo kubwa , umaskini pia , huwez kusafr more than 800 km Kwa basi , dunia za wenzetu hapo ni tren za umeme au aircraft , miundo mbinu mibovu na isiyokidhi , two lanes Kwa highway ni graveyard
Kwamba nchi gani hapa Duniani hakuna ajali? Kiukweli kwa miundo mbinu ya barabara za Tanzania ilivyo mibovu na duni, tuwapongeze madreve wa Tanzania kwamba ajali sio nyingi sana!
You're right!!!!!Vyombo ambavyo havilingani size heavy na light havipaswi tembea speed sawa
Kuweka 80kph kwa Lori,bus gari ndogo mtazika Sana
Gari dogo ukikuta Lori linatembea 80kph lipite kaa nalo mbali kabisa ukishindwa lipita acha iende mbali na wewe
Hizi unilateral assessment ndizo tatizo letu kubwa ambapo bila utafiti wowote mtu ana mahitimisho kama yote:Umeanza vizuri sana ila kuna sehemu hazikuwa za lazima
1. Wahitimu wa chuo kikuu still ni binadamu, ajali nyingi zinasababishwa na uzembe wa kibinadamu ambao over the period of time, wote tunao.
2. Kuna maeneo mengi sana hapa nchini penye ruhusa ya kuendesha gari zaidi ya speed 80 kmh, zipo sehemu unaruhusiwa kutembea mpaka 120 kmh i.e. Katikati ya Singida na Shinyanga
Vipo vitu vingi sana kama ulivyosema vya kupunguza ajali, ndio lakini hakuna kitu cha kuondoka kabisa tatizo la ajali.