greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,328
- 3,955
Ajali ya just usiku hioNyepesi za muda huu kuna Bus mzinga tena - kutoka Bukoba -Dar; kibuyu kimelia mitaa ya Dodoma. Tutaishaa
Dar lux alichukua hao akasahau maswala ya elimu na vyeti haviusiani akachukua vijana wabichi kabisa wanamwaga Moto bila tahadhari haivuki week mbili isipogongwa itagongwaMkuu tuition wala haisaidii. Imekuwa miaka mingi mno. Bora graduates wakamate usukani wenyewe kabisa.
shida sheria hazifuatwi na faini haziumizi ... serikali iweke kamera barabara zote za mkoani kupiga picha watu wa mwendo kasi. faini za laki 2 kwa kuongeza speed inatosha kumuadhibu dereva akirudia mara 5 anakuwa anafaini mil 1 then leseni inapumzishwa kwa miezi 3 unafikiri mtu anayefanya kazi kutumia gari atajaribu kuvunja sheria maana atalala njaaUkweli n mchungu lakini tufike mahali tuuseme hata kama unauma.
Mengi yamesemwa kuhusu ajali miaka nenda rudi, lakini ajali ziko pale pale.
Bahati mbaya mzizi wa tatizo umekuwa hausemwi kwa kujua au kutokujua.
"Tatizo letu kuu kimsingi ni ujinga ndugu zangu."
1. Kulikoni dereva kuendesha gari akiwa haoni waziwazi anakokwenda?
2. Kulikoni dereva kuendesha gari bila kujali hali ya miundo mbinu alipo?
Pana haja ya kurekebisha viwango vya elimu angalau kwa kuanzia, madereva wa mabasi na malori.
Kwanini kutokuwatumia wahitimu wa vyuo vikuu kuendesha mabasi?
Kwanini kama ilivyo kwingine kama kiwango cha juu cha mwendo ni 80km/h, isiiwe hivyo kwa vyombo vyote vya moto barabarani?
Kwa kuzingatia haya tu, ajali zitakwisha.
Serikali inao wajibu.
Mpaka kwa akina mama Lishe ni mazingaombwe tu ! 🙄🇹🇿 Tumeshapotea njia !!Ajari zitakwishaje wakati wengine wanafanya kazi kwa kutumia mazingaombwe?amesoma kwa kutumia mazingaombwe? Gari Ina mazingaombwe?anaendesha biashara kwa kutoa sadaka kwa miungu?
Africa haiwezi kuendelea kwa kutumia mazingaombwe!!
Kabisa !shida sheria hazifuatwi na faini haziumizi ... serikali iweke kamera barabara zote za mkoani kupiga picha watu wa mwendo kasi. faini za laki 2 kwa kuongeza speed inatosha kumuadhibu dereva akirudia mara 5 anakuwa anafaini mil 1 then leseni inapumzishwa kwa miezi 3 unafikiri mtu anayefanya kazi kutumia gari atajaribu kuvunja sheria maana atalala njaa
Kwa majaribio iwekwe sheria madereva wa mabasi wasiajiriwe wenye umri chini ya miaka 45 ! Ni kuanzia 45 na kuendelea uone kama kuna basi litagongana na gari jingine uso kwa uso !!Chanzo kikubwa cha ajari nyingi ni miundo mbinu mibovu,barabara ni za lami lakini mashimo kama yote,ukisema elimu unamaanisha madereva wa mabus hwajapitia NIT !? Sio kweli angalia maderava wanaoendesha viongozi wote ni walewale lakini wanaongoza kwa matukio
Madereva wa mabasi wawe na umri kuanzia miaka 45 na kuendelea hutosikia ajali za kizembe kamwe !!Ajali ya just usiku hio
Kwahiyo wahitimu wa vyuo vikuu wao ndio wana akili kuliko wengine? Umeaanza vizuri ila hivyo vigezo vya elimu hapana. Kwani hao wasomi hawapati ajali na private car zao? Mimi nafikiri, it's all about maturity tu.Elimu ni ufunguo wa maisha. Wasomi wajinga wapo lakini ni wachahe Kwa asilimia ukilinganisha na mburula wajinga.
Fikiria:
1. Kulikoni dereva kuendesha gari akiwa haoni waziwazi anakokwenda?
2. Kulikoni dereva kuendesha gari bila kujali hali ya miundo mbinu alipo?
Inawezekana je? Tena Labda dereva huyo kabeba watu 50?
Hawako siriaz na uhai wa watanzania !!Mbinu zilezile zisizo zenye matokeo duni na bado hazifuatwi, Wasimamizi wa usafiri wanadai wamefunga vi zibiti mwendo kwenye magari lakin kila siku tunaziona hizo ligi za magar ya abiria Maana yake nin!
Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
Hapo umenena mkuu! Tatizo la ajali sehemu kubwa linaratibiwa na barabara zenyewe! Kwanza nyingi ni chini ya kiwango ingawa kuna majinga yanatamba nazo! highway toka lin ikawekwa bams? Madereva kufuata sheria lkn na serikal kutimiza wajib wao! Barabara na magar sio vyanzo rasmi vya mapato kwa polis wetu! Imefikia hatua polis trafik anasubiri mtu avunje sheria ili akachukue fedha au apige faini! Kuna ajali nying mno zinasababishwa na hawa ndugu zetu polisi lkn mzigo anabebeshwa derevaTatizo la ajali za Tanzania ni barabara kuwa ndogo,halafu magari ni mengi.Kinachotakiwa kifanyike ni kupanua barabara zote kuu,Dar to Tunduma, Dar to Mwanza, Dar to Arusha, Dar to Mtwara.Hizo njia kuu zikishatanuliwa, tutakuwa tumeokoa vifo vya ajali kwa asilimia 90
hata barabara zetu ni tatizo kubwa, ni nyembamba mno. Barabara nyingi zina upana wa mita tano basi na lori vikikutana lazima wakwepane hadi wafika eneo la waenda kwa miguu, na huko kama kuna mtu anatembea au kuendesha baiskeli/pikipiki....unamuachia Mungu tu.Ukweli ni mchungu lakini tufike mahali tuuseme hata kama unauma.
Mengi yamesemwa kuhusu ajali miaka nenda rudi, lakini ajali ziko pale pale.
Bahati mbaya mzizi wa tatizo umekuwa hausemwi kwa kujua au kutokujua.
"Tatizo letu kuu kimsingi ni ujinga ndugu zangu."
1. Kulikoni dereva kuendesha gari akiwa haoni waziwazi anakokwenda?
2. Kulikoni dereva kuendesha gari bila kujali hali ya miundo mbinu alipo?
Pana haja ya kurekebisha viwango vya elimu angalau kwa kuanzia, madereva wa mabasi na malori.
Kwanini kutokuwatumia wahitimu wa vyuo vikuu kuendesha mabasi?
Kwanini kama ilivyo kwingine kama kiwango cha juu cha mwendo ni 80km/h, isiiwe hivyo kwa vyombo vyote vya moto barabarani?
Kwa kuzingatia haya tu, ajali zitakwisha.
Serikali inao wajibu.
Umri huo ndo umri ambao wanaume wengi hawana nguvu za kiume ,, Wana stress wake zao wanagongwa wakiwa safarini ndo waje waendeshe busMadereva wa mabasi wawe na umri kuanzia miaka 45 na kuendelea hutosikia ajali za kizembe kamwe !!
Duh ! Basi hao vijana watayumaliza !!Umri huo ndo umri ambao wanaume wengi hawana nguvu za kiume ,, Wana stress wake zao wanagongwa wakiwa safarini ndo waje waendeshe bus
Sifa ya mjinga ni kutokua na kumbukumbuWakati Magufuli anawaambia matrafic wawabane madereva wazembe mkasema ni mshamba!
Mama yenu kupitia kinana akaondoa matrafic barabarani mkashangilia eti anafuta legacy!
Kunyweni damu za wanaofariki sasa!
Mavi matupu nchi hii
Haya matatizo mawili mzizi mkuu ni tabia na mazoea ya wahusika.Elimu ni ufunguo wa maisha. Wasomi wajinga wapo lakini ni wachahe Kwa asilimia ukilinganisha na mburula wajinga.
Fikiria:
1. Kulikoni dereva kuendesha gari akiwa haoni waziwazi anakokwenda?
2. Kulikoni dereva kuendesha gari bila kujali hali ya miundo mbinu alipo?
Inawezekana je? Tena Labda dereva huyo kabeba watu 50?
Haya matatizo mawili mzizi mkuu ni tabia na mazoea ya wahusika.
Kuwa na elimu pekee Kwa madereva sio suluhisho tosha. Magari ya serikali Yana madereva wasomi Ila wakiwa barabarani akili zinafyatuka. Nadhani udereva mzuri ni ustaarabu WA mtu binafsi makuzi yake, na Ile Haiba ya kutii Sheria bila shurti.
Mamlaka inabidi iongeze umakini katika utoaji wa leseni, iwe Kama wenzetu nchi za ulimwengu wa Kwanza kule mpaka upate leseni ya udereva ujue umepiga mafunzo mengi barabaran yaani ni mtiti kwelikweli .
Ukija kwenye timu ya wakaguzi wa magar upande wa polisi! Kwanza hawana ujuzi wowote wa mv mechanics! Taaluma ya magari ni pana mno sio ya mtu wa umri wa mtu mzima mwenye majukumu ya familia kwenda veta au nit kwa mwezi mmoja halaf unampa majukumu ya kukagua gari!