Ajali ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Austria ichunguzwe

Nilishasema kwenye ile taarifa ya kifo kuwa kuna walakini kwenye umauti wake na taarifa ya siku hiyo hiyo kuwa amefukuzwa Austria kwa tuhuma za ubakaji.

Seems cleansing imejiri na kwa sababu tumeamua kucompromise na katiba iliyopo ambapo viatu wamekuwa wavaaji viatu hivyo wakishughulikiana wanapovuka mstari inatuachia sisi wakuja sintofahamu nene
 
Ubakaji+crown (safari ya usiku)+ajali+kuungua=kifo. Alafu identification ni chain ya shingoni na nguo ya marehemu (ukumbuke aliungua)?????!!!!
 
Hujui kuwa ni Bongo pekee duniani ndipo kuna magari ya kike na kiume, amka Ndugu [emoji848][emoji4]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Att
Ajali ya Toyota Crown t.175dmf imetokea mkata dereva ni mwanamke amefariki papo hapo
, umiliki wa gari ni Celestine Joseph Mushy

Sambaza kwenye
magroup kadri uwezavyo ili ndugu wapate taarifa
toka 0652003003
Hapa ndo nilichoka, why waseme dereva ni mwanamke?
 
Nimemsikia Mkuu wa Wilaya ya Handeni Nchembe anasema kuwa walifika wakakuta hatambuliki.

Shemeji yake anadai kuwa waliona cheni ndo wakajua ni yeye

Hii kitu ina mambo mengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hiyo ajali ni ile nliyoshuhudia na kama ni yeye alifariki katika hiyo ajali, hakuna ambaye angeweza kumtambua mda ule hata baada ya 24 hours.

Ajali ilikuwa ni mbaya sana tulishindwa kulitambua gari lenyewe .!
Aligonga nini hadi kuchakaa hivyo
 
Balozi kafa kwenye crown inashangaza kweli. Kweli balozi asafiri mwenyewe ata machawa chawa wa bongo akose. Sijui ila inaleta ukakasi
Kuna mengi ya kujiuliza
  1. Kafukuzwa huko isisikike duniani
  2. Amefika nchini kwake kimyakimya
  3. Mteuzi wake kakaa kimya
  4. Nyumbani aliondokaje peke yake
  5. Je hawawezi kufuatilia mawasiliano yake ya simu kabla hajafa?
 
Ujue wenye nchi wakitaka pasiwe na maswali wanakuletea tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…