Ajali ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Austria ichunguzwe

Mbali na masikitiko ya kifo cha Balozi, inasikitisha zaidi sana kuona mwandishi anadanganya/anachanganya hadharani kuwa Bolozi Mushi alikuwa Balozi wa Tanzania "Australia" na siyo "Austria"
Hapo msomaji inabidi ujiongeze sasa
 
Kuna balozi yupo Bunju anauza Bata na mchicha.
Na Wala hata hajali
 
Mbali na masikitiko ya kifo cha Balozi, inasikitisha zaidi sana kuona mwandishi anadanganya/anachanganya hadharani kuwa Bolozi Mushi alikuwa Balozi wa Tanzania "Australia" na siyo "Austria"
Hakuna waandishi siku hizi
Waandishi wengi wao ni udakuudaku tu,wapz kabisa

Ova
 
Waafrika wote mnafanana akili hamna intelligent.
 
Kipande kile mkata kuendelea kuna umafia mwingi sana.....
Ukipata ajali ukipona kachinje ngombe au mbuzi

Ova
Fafanua huo umafia mkuu, hilo eneo 2021 March, nilipoteza uncle aliyekuwa safarini kuelekea Tanga mjini.Alikuwa dereva mzoefu sana, gari ilipinduka na kubondeka upande wa dereva na kuaga dunia pale pale.
 
Picha za tukio zipo wapi ili sisi wataalamu tuzitazame na kuzitathimini tuweze kutoa hitimisho letu.
 
Kwa upumbavu wake, aliingizwa king,
"Honey trap"unarekodiwa ukiwa na Dem, then blackmailing inafata.

Either utalazimishwa utoe Siri, ukikataa, utachafuliwa, na video zitavujishwa, then utafukuzwa kwenye host country, waliotaka kuku recruit, watakasirika, na idara yenu isipokuwa makini, lazima wakudedishe.
Ile sio ajari, kwa sie wenye macho ya mwewe, tunajua imetengenezwa,.

Nakumbuka, General mmoja wa US, iligundulika ana kadem pembeni, habari hizo zilipofika state department, alirudishwa fasta hm, akavuliwa madaraka, FBI wakamuhoji kuona kama huo uhusiano na mchepuko wake, haujafanya awe blackmailed na maadui wa US Ili kutoa nyaraka za Siri.

Huku kwetu, tumejaza vilaza watupu kwenye balozi zetu,vitengo vya kijasusi vya counterintelligence, vimejazwa ndugu kibao, wanaojari mishahara, na kuja kupata uteuzi tu,wanashinda mitandaoni, wakisifia ccm, kazi za ulinzi hakuna kitu.

Nchi yetu inamatobo kibao kwenye ujasusi, watu wengi kwenye vitengo nyeti wapo "compromised"we have no idea, how foreign intelligence have penetrated our systems,mi nafikiri Kuna watu ni wachafu, kiasi kwamba kwa kuogopa uchafu wao kuwekwa wazi wanauza Siri kibao za nchi

Huyu Balozi, inaonekana aligoma kutoa Siri, wanaume wakamtuliza,
TISS ipo bize kuwinda wapinzani wa ccm, huku nchi inazidi kuoza.
 
Hii inanikumbusha Hotuba ya Mwalimu Juu ya kifo Cha sokoine.

"Watanzania wenzangu nawaombeni sana mkubali kwamba Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine amefariki kwa ajali ya gari.”

JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Nyerere alikuwa mafia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…