Ajali ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Austria ichunguzwe

Tangu lini mfumo ukajichunguza mkurugenzi!! Hata mimi nilishangaa! How come Balozi asafiri peke yake usiku, halafu kwenye gari ya kawaida kabisa; Toyota Crown athlete!!!

Yaani Balozi mzima akose dereva wa kumuendesha!! Asafiri usiku kwenda Moshi na gari ndogo, na wakati angeweza kupanda ndege alfajiri na kuingia huko Moshi mapema kabisa!!! 🤔
 
Gari ilipata ajali
Aligongana na Lory gari yake ikawaka moto
Lory iliungua yote cabin
 

Yaani Mzungu leo hii atake siri za Tanzania azifwate kwa mtu mdogo kama Balozi wakati wakubwa wote wanawatumikia ? Mzungu anaamua nani awe Kiongozi wa Tanzania, Mzungu anaijua TZ klk hao viongozi au unafikiri kwa nini Ndege yetu ilikamatwa Uholanzi nani aliipeleka? Nani alisaidia Mzungu kuikamata? Nani alitoa infos kwa Mzungu?

Amka uko uchi kuliko unavyodhania, …
 
Inzi walidhani ukweli hautajulikana, balozi unabaka? Ni aibu isiyoelezeka. Sijawahi sikia, nimeisikia kwa balozi wa samia
 
Pole balozi Celestine Mushi! Tulifurahia utendaji wako pale Vienna mara baada ya kuingia ofisin. Umekufa kifo kibaya kwa taarifa zinazosomeka humu. Kifo kibaya sana. Lakin kama kuna mkono wa mtu nyuma ya kifo chako, basi damu yako isinyamaze mpaka ijitwalie kisasi. RIP😭😭😭😪
 
Kuna wanaosema eti alibaka nyie mliofanya nae kazi hizi tuhuma je ni kweli
 
Dah! umeibua hoja fulani.

Hii habari niliisoma Mwananchi lakini haikubainisha sababu ya yeye kuwepo nchini wakati kituo chake cha kazi ni Austria. Ripota angesema labda, Balozi alikuwa amerudi Tanzania kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu za mwisho wa mwaka!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Fafanua huo umafia mkuu, hilo eneo 2021 March, nilipoteza uncle aliyekuwa safarini kuelekea Tanga mjini.Alikuwa dereva mzoefu sana, gari ilipinduka na kubondeka upande wa dereva na kuaga dunia pale pale.
Kuna wezi wa mafuta,waporaji wa mizigo kwenye magari,

Ova
 
Kwanini watu wanahoji eti kwanini aendeshe Crown?
Ingekuwa mkokoteni sawa sasa walitegemea aendeshe nini sielewi kabisa

Watu mnapangia maisha ya mtu mbona Rais masikini duniani alikuwa na vw iliyochoka?
Maisha ya mtu ni yake na mpaka wengine huwa wana double life so what
 
una kitu
thanks
 
huo ni unafiki sasa kufukuzwa kazi kwa ubakaaji kuna uhusiano gani na ajali? mbona hata GODBLESS LEMA ana tuhuma za ubakaji na hazihusiani na kukimbia nchi na kujifanya mimbizi? hiyo ni ajali kama ajali zingine gari imepata ajali imewaka basi uchunguze nini? sema tu kuwa ulitaka watu wajuwe kuwa anashutuma za ubakaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…