Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Nakazia hoja. Hii labda inaweza kuwa ndo kauli au lugha ambayo bodaboda wataielewa. Ajali hazijaanza leo lakini hao bodaboda hawasikii na wala hawajirekebishi na wala hawajifunzi na inaonekana tunampigia mbuzi gitaa - ni majanga tupu - Wamekaza shingo.Ni mbaya lakini itawafundisha wengi watakaoiona. Hasahasa bodaboda
Basi inapendeza zaidi hao-hao watumike kama Teaching aid kwa wenzao wachache watakaotusikia. Tumechoka nao - utasaidia wangapi na mpaka lini? Mbona hawatoi ushirikiano nasi i.e. wanaonywa siku zote wawe waangalifu, waache kuendesha rafu na wazingatie sheria za barabarani. Boda akimgonga mtu badala ya kusimama amsaidie majeruhi, yeye anakimbia(anasepa)......