The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
Mimi niliwapa pole na kuwatakia majeruhi quick recovery, niliweka chuki na hasira za namna bwalivyoingia bungeni pembeniView attachment 3172243
Mimi binafsi nilijizuia nisiseme neno lolote...
Lakini kimoyomoyo niliona na kufikiri kuwa kwa kuwa wameikataa njia ya haki ya kubadilishana uongozi na madaraka....
Basi, pengine njia inayofaa kuuondoa huu utawala wa uovu chini ya CCM, obvious ni hii ya kufagiliwa kwa mauti za namna hii, ajali, pressure, magonjwa ya ajabu nk nk...
Mpaka hapo tunaomba mapenzi ya Mungu yatimizwe....
Hata mimi niko upande wako mkuuNimi sikukoment lakini nilikuwa nao sambamba hao waliochangia
Binafsi hadi leo nipo ktk mfungo nikiwaombea wafe na wasipokufa wawe vilema wa maisha.View attachment 3172243
Mimi binafsi nilijizuia nisiseme neno lolote...
Lakini kimoyomoyo niliona na kufikiri kuwa kwa kuwa wameikataa njia ya haki ya kubadilishana uongozi na madaraka....
Basi, pengine njia inayofaa kuuondoa huu utawala wa uovu chini ya CCM, obvious ni hii ya kufagiliwa kwa mauti za namna hii, ajali, pressure, magonjwa ya ajabu nk nk...
Mpaka hapo tunaomba mapenzi ya Mungu yatimizwe....
Ubaya UbwelaChuki imeanza kuonekana wazi wazi.
Walevi wa madaraka wataishia kuwakemea wananchi.
Sasa vitendo vitakapoanza ndo wataamini kuwa uozo wao utawarudi wenyewe
Wanadhani wanapambana na CHADEMA kumbe wanapambana na wananchi wenye nchi yaoUbaya Ubwela
Ila wazungu hawatazuia kitu mwakaniMungu Wabariki Wananchi