Ajali ya bus la Wabunge: 98% ya wananchi waliotoa maoni yao mitandaoni waliombea wafe wote...!

View attachment 3172243

Mimi binafsi nilijizuia nisiseme neno lolote...

Lakini kimoyomoyo niliona na kufikiri kuwa kwa kuwa wameikataa njia ya haki ya kubadilishana uongozi na madaraka....

Basi, pengine njia inayofaa kuuondoa huu utawala wa uovu chini ya CCM, obvious ni hii ya kufagiliwa kwa mauti za namna hii, ajali, pressure, magonjwa ya ajabu nk nk...

Mpaka hapo tunaomba mapenzi ya Mungu yatimizwe....
Hizo takwimu zinatisha
 
Na Mimi nachangia wafe wote
 
Mh! hiyo ni sawa na dua la kuku!, ifike hatua kama mtu ama watu hamuwataki waonyesheni pale panapostahili kuwa hamuwataki. kuombeana majanga ama kifo si jambo la akili hata kidogo maana, majanga na kifo humpata yoyote haijalishi upo ktk nafasi gani!.

kama serikali hamuitaki ama watu fulani fulani hamuwataki zipo platform zakuwakabili huko, kumuombea mtu majanga ni uchawi kama uchawi mwengine tu!.
Umesema Dua la kuku hilo alafu unajikanyaga tenah ,Huo unafiki wameongea wamenyooka hapo
 
View attachment 3172243

Mimi binafsi nilijizuia nisiseme neno lolote...

Lakini kimoyomoyo niliona na kufikiri kuwa kwa kuwa wameikataa njia ya haki ya kubadilishana uongozi na madaraka....

Basi, pengine njia inayofaa kuuondoa huu utawala wa uovu chini ya CCM, obvious ni hii ya kufagiliwa kwa mauti za namna hii, ajali, pressure, magonjwa ya ajabu nk nk...

Mpaka hapo tunaomba mapenzi ya Mungu yatimizwe....

Hata ukilifuta bunge hakutakuwa na tofauti yoyote kwenye maisha ya Wananchi wa kawaida.

Wakina Slaa, Mtikila walipambania maslahi ya Watz kuliko hili bunge zima.
 
Back
Top Bottom