Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hizo takwimu zinatishaView attachment 3172243
Mimi binafsi nilijizuia nisiseme neno lolote...
Lakini kimoyomoyo niliona na kufikiri kuwa kwa kuwa wameikataa njia ya haki ya kubadilishana uongozi na madaraka....
Basi, pengine njia inayofaa kuuondoa huu utawala wa uovu chini ya CCM, obvious ni hii ya kufagiliwa kwa mauti za namna hii, ajali, pressure, magonjwa ya ajabu nk nk...
Mpaka hapo tunaomba mapenzi ya Mungu yatimizwe....
Na Mimi nachangia wafe woteView attachment 3172243
Mimi binafsi nilijizuia nisiseme neno lolote...
Lakini kimoyomoyo niliona na kufikiri kuwa kwa kuwa wameikataa njia ya haki ya kubadilishana uongozi na madaraka....
Basi, pengine njia inayofaa kuuondoa huu utawala wa uovu chini ya CCM, obvious ni hii ya kufagiliwa kwa mauti za namna hii, ajali, pressure, magonjwa ya ajabu nk nk...
Mpaka hapo tunaomba mapenzi ya Mungu yatimizwe....
Umesema Dua la kuku hilo alafu unajikanyaga tenah ,Huo unafiki wameongea wamenyooka hapoMh! hiyo ni sawa na dua la kuku!, ifike hatua kama mtu ama watu hamuwataki waonyesheni pale panapostahili kuwa hamuwataki. kuombeana majanga ama kifo si jambo la akili hata kidogo maana, majanga na kifo humpata yoyote haijalishi upo ktk nafasi gani!.
kama serikali hamuitaki ama watu fulani fulani hamuwataki zipo platform zakuwakabili huko, kumuombea mtu majanga ni uchawi kama uchawi mwengine tu!.
View attachment 3172243
Mimi binafsi nilijizuia nisiseme neno lolote...
Lakini kimoyomoyo niliona na kufikiri kuwa kwa kuwa wameikataa njia ya haki ya kubadilishana uongozi na madaraka....
Basi, pengine njia inayofaa kuuondoa huu utawala wa uovu chini ya CCM, obvious ni hii ya kufagiliwa kwa mauti za namna hii, ajali, pressure, magonjwa ya ajabu nk nk...
Mpaka hapo tunaomba mapenzi ya Mungu yatimizwe....
Za JF itakuwa ni balaa mkuuππMbona hawajatoa takwimu za jamiiforum.