Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

RPC Charles Mkumbo wa Mkoa wa Arusha kutoa taarifa za awali kwani ni mpaka ufike mwenyewe eneo la tukio unapo mjibu mtangazaji wa ITV kuwa huwezi kutoa majibu ya kubuni kwani Karatu hakuna msaidizi wako ambaye ni OCD au msaidizi wa OCD ambaye lazima akupe taarifa iliyokufa utoke Arusha kuelekea Karatu!!!

Ma RPC mbadilike ktk kutoa taarifa kwa umma hasa za awali then kuna taarifa za tukio zima baada ya kufika eneo la tukio.

Sasa ikitokea ajali mbaya Ngorongoro 400kms kutoka Arusha hizo taarifa mpaka Ngorongoro baada ya saa 12 ndiyo utoe taarifa za awali wakati unawaza kupata taarifa kutoka kwa OCD.

Ajali ni mbaya na inaonekana Driver ni mgeni na njia na hakuchukua tahadhali pale Rhotia eneo la tukio kuna mteremko mkali na korongo!!

MUNGU awape nguvu majeruhi wapone haraka na kuwapa moyo wa uvumilivu wazazi ktk kipindi hiki kigumu cha majonzi

R.I.P Watoto wote waliofariki
 
Eeeeehhh Mungu[emoji27] [emoji27] [emoji27] so sad....
 
Hiyo ajali inatisha.
Wafiwa na wazazi Mungu awape moyo wa uvumilivu na amani ktk kipindi hiki cha msiba!!
Kabidhi Bwn masaibu yako yote.
Poleni sana!!
 
R.I.P wakusoma wote na walimu wenu.
Ee Mola tunaomba uwape faraja familia za wa wahanga
katika hiki kipindi kigumu wapitiacho.

PSLE 2016 EXAMINATION RESULTS

LUCKY VICENT PRIMARY SCHOOL - PS0102080

WALIOSAJILIWA : 101
WALIOFANYA MTIHANI : 101
WASTANI WA SHULE : 214.6139
KUNDI LA SHULE : Watahiniwa 40 au zaidi
NAFASI YA SHULE KWENYE KUNDI LAKE KIWILAYA: 1 kati ya 68
NAFASI YA SHULE KWENYE KUNDI LAKE KIMKOA : 1 kati ya 331
NAFASI YA SHULE KWENYE KUNDI LAKE KITAIFA : 20 kati ya 8109
 
daah ona hizo tairi yaani,

Tumwachie ALLAH.[emoji120]
 
Dah very painful, Mungu walaze mahali pema pepooni.

Walipopatia ni sehemu hatari sana na kwa taarifa nilizozipata kutoka hapo Rhotia ambapo ndio nyumbani ni kwamba ukungu ulikuwa umetanda sana ni kwenye kona linaloelekea kwenye mteremko mkali wa rhotia-marera na kabla ya corner kwa mbele ni bonded lenye miti mingi ya asili sina a cassia.

Lazima kuna uzembe kwa sababu ni sehemu ambayo inahitaji tahadhari kubwa kwa dereva yeyote mzoefu na mwenye leseni kwasababu watu wanadai ni mgeni wa barabara.

My take, Serikali iwe makini sana na road traffic signs zitasaidia sana kupunguza ajali kama hizo zinazosababishwa na ugeni wa dereva.

Very painful, RIP.
 
Inasikitisha sana, niulize walimu wangapi walikuwa na hao watoto? idadi kamili ya wanafunzi? chanzo cha ajali?
 
Dah siku yangu Leo imekuwa ngumu sana kwa taarifa hii, kwakweli nilikuwa na miaka mingi sana sijalia hili limeniliza na bado nalia nalia sana,kwakweli inauma inauma japo watoto si wangu ila moyo nahisi unapasuka,
 
Dah inasikitisha sana,wapumzike kwa amani ,Mungu awape moyo wa ujasiri wazazi wao, ndugu,jamaa na marafiki
 
Hawakua wanaenda tripu, walikua wanaenda kwenye joint na shule moja ya karatu. Na ni kawaida ya shule kushindana
 
Dah Ee Mungu pokea malaika wako!
So sad to loose such innocent kids .R I P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…