Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Dah, family ndugu n jamaa za marehemu, pia wajeruhiwa polen sana n mungu azid kuwatia wepesi ktk hili janga lililotukuta, ...

Mungu ibariki Tanzania, Mungu bariki family za marehem hawa, Mungu ukapate kuwalaza marehemu hawa mahala pema pepon ktk jina la BABA, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu.. Amina.[emoji120][emoji120][emoji120] [emoji22][emoji22]
 
Asante sana ndugu yangu. Acha tu ni Kama ndoto ambayo tunaomba tuamke usingizini tukute sio kweli. Kaka Presha imepanda kaanguka yuko hospital hajaamka mpaka sasa. Amezika MKE wake mwezi wa pili mwaka huu.
Yeeeuwiiii jamani poleni sana... Allah ampe subira kaka yako... anapitia kipito kigumu mno.. ampe nguvu
 
Asante sana mkuu. Ndio maana nimesafiri mara tu nilipopata taarifa. Ndugu zangu wengine bado hawaamini na hawataki kuamini. Kaka alikuwa na watoto hao hao ndio walikuwa wanampa faraja baada ya mke wake kuitwa na Mungu mwezi wa pili mwaka huu.
Katika hali kama hiyo Brother anahtaji mtu wa karibu kuweza kuhimili hali hii, nenda ndugu yangu na Mungu akutangulie.
 
Asante sana ndugu yangu. Acha tu ni Kama ndoto ambayo tunaomba tuamke usingizini tukute sio kweli. Kaka Presha imepanda kaanguka yuko hospital hajaamka mpaka sasa. Amezika MKE wake mwezi wa pili mwaka huu.
Dah pole sana Mkuu inasikitisha sana jamani Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Chanzo cha ajali tafadhali
Mwendo kasi na Ugeni wa Njia kwa dereva, eneo lenyewe lina Mtelemko Mkali + Plus mvua ilikuwa inanyesha na kuna ukungu mwingi so inaonesha gari lilimshinda alishindwa kumudu kona na mtelemko mkali likatoka barabarani kuelekea bondeni.
 
Haya mambo ndio huwa tunayaongea kila siku
Watanzania tubadilike tufuate sheria
Kosta inabebaje 50!!
Basi kubwa tu ni 60
Jamai em someni habari vizuri... amesema ilikua na abiria 30 jumla... chaaa
 
nipo kazini nimeona hii habari kwa kweli vidole vimefreeze nashindwa kutype na nimepatwa na kigugumizi cha ghafla, daah RIP
 
niliwahi kusema katika usafiri mbovu sana ni hizi school bus, nikaleta kisa cha school bus ya heritage school iliyokuwa imebeba wanakwaya baada ya kusimamishwa walihamaki na kumshambulia trafiki hadi kumtolea mapepo yake.

serikali ipige marufuku hizi school bus hadi zitakapokaguliwa na TRO na kuhakikishwa ni salama kubeba watu, kuna shule huku mwanza ukiikuta school bus imeegeshwa huwezi amini kama inatembeaga! Madereva wote wa school bus wapelekwe veta wafanyiwe mafunzo na kuhakikiwa upya na veko kama wanazo sifa na weledi wa kuendesha school bus.

Lipo tatizo jingine school bus zinahesabika kama private transport hivyo dereva sio lazima awe na class C, wengi wao wana class D kwa maana nyingine ni madereva wasiokuwa na sifa.
 
Back
Top Bottom