Poleni wazazi kwa kuwapoteza wadogo zetu.Nina muda sana sijakwenda kwetu.Ninaogopa mno kusafiri.Ninasemwa vibaya kwetu kwa kutokwenda nyumbani lakn hii yote tatizo vyombo vyetu vya usafiri vinatia mashaka.Gari hiyo sina shaka ilifeli brake.Na kama dereva nae kapoteza maisha basi si ajabu alikuwa amesinzia kuja kushtuka ameshafika eneo ambalo analifahamu kabisa siku zote ni baya na kilichofwatia ni kupaniki na gari kuseserereka na kupoteza muelekeo na kutoka nje ya barabara na kupinduka.Ni ajali mbaya mno