Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Poleni wazazi kwa kuwapoteza wadogo zetu.Nina muda sana sijakwenda kwetu.Ninaogopa mno kusafiri.Ninasemwa vibaya kwetu kwa kutokwenda nyumbani lakn hii yote tatizo vyombo vyetu vya usafiri vinatia mashaka.Gari hiyo sina shaka ilifeli brake.Na kama dereva nae kapoteza maisha basi si ajabu alikuwa amesinzia kuja kushtuka ameshafika eneo ambalo analifahamu kabisa siku zote ni baya na kilichofwatia ni kupaniki na gari kuseserereka na kupoteza muelekeo na kutoka nje ya barabara na kupinduka.Ni ajali mbaya mno
 
So sad wallah. RIP wote waliotangulia mbele ya haki. Mungu Awape subra na nguvu wote walipoteza wapendwa wao. Na awajaalie majeruhi wapone haraka.
Inna lilah wainna ilayh rajiuun
 
Huyo mtoto aliyepona ni nabii wa Mola! I'm praying to the Almighty One wampatie therapy ya kutosha! Mwenye Enzi Mungu akubariki milele yote!
Iliwahi kutokea huku Zanzibar kuna shule moja wanafunzi walienda pwani wanavyosema kwa masuali ya kusoma. Sijui ilikuwaje wakaawacha wtt wakapanda kidau tena wala haikuwa maji ya mbali sana. Kidau kikapinduka wanafunzi 11 walikufa alibaki mmoja tu ambae alisaidiwa na urefu wake. She is a big girl now.
 
RIP wadogo zangu. Mungu awalaze pema peponi. Inauma sana ila hakuna namna yote ni mipango ya ulimwengu
 
R. I. P mmeondoka bado wadogo sana tngulieni wadogo zetu nasi twaja
 
Back
Top Bottom