Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Toka nimepata hii tarifa sijielewi kabisa....imenitoa mood kabisa. Mungu pekee awe Faraja kwa familia zote za wafiwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja yako haina msingi, watoto kwa kusafiri pamoja hilo peke yake ni somo kuna mengi wanajifunza wanapokuwa pamoja, na pia zingatia kuwa hiyo ni ziara ya kimasomo.Habari mbaya sana, poleni wazazi mm ni mmoja wa wazazi ambaye sipendi kabisa vi trip vya pamoja iwe ni kwa watu wazima au watoto i prefer private transport
Nahisi kufiwa na mtoto ni kunauma zaidi,mpaka walikosa jina la kumwita mzazi anaefiwa na mwanae.Anaefiwa na mke we huitwa mgane,anaefiwa na mmewe huitwa mjane,anaefiwa na baba au mama huitwa yatima.Ila anaefiwa na mwane walikosa jina kabisa.Pole kwa wazazi maana maumivu yake hayelezekiKufiwa na mtoto, mke, mume, Baba na Mama ni misiba mikubwa sana. Pole sana Mkuu.
Nahisi kufiwa na mtoto ni kunauma zaidi,mpaka walikosa jina la kumwita mzazi anaefiwa na mwanae.Anaefiwa na mke we huitwa mgane,anaefiwa na mmewe huitwa mjane,anaefiwa na baba au mama huitwa yatima.Ila anaefiwa na mwane walikosa jina kabisa.Pole kwa wazazi maana maumivu yake hayelezeki
Nahisi kufiwa na mtoto ni kunauma zaidi,mpaka walikosa jina la kumwita mzazi anaefiwa na mwanae.Anaefiwa na mke we huitwa mgane,anaefiwa na mmewe huitwa mjane,anaefiwa na baba au mama huitwa yatima.Ila anaefiwa na mwane walikosa jina kabisa.Pole kwa wazazi maana maumivu yake hayelezeki
Pole sana, Mungu akufariji.30.05.2016(almost a year now) nilimpoteza baby boy kila nikijiuliza sipati jibu nini kimetokea.
Najua jinsi gani wazazi wa hao watoto wanavyojisikia ni zaidi ya kuibeba dunia kwenye mabega sidhani kama kuna maumivu yatazidi maumivu ninayoyapata ni ngumu kusahau.
Pumzikeni kwa Amani watoto ninachoamini mko salama maana hamuijui dhambi kwa sasa mnafurahi na malaika wote ingawa wazazi mmetuachia simanzi ya kudumu.
tuseme ukweli school bus ya bei ndogo ni TATA ambalo linauzwa 100m shule ngapi zinamudu kununua? ukizingatia huyu bwana mkubwa ana negative altitude na sekta binafsi. Wamiliki wa shule hawafanyi biashara wanatoa huduma, serikali lazima itie mkono wake, hizi shule zipewe ruzuku basi zipewe sawa na shule za serikali zinavyopewa angalau.
Mafao watudhulumu, vyeti wavichane, makato ya helsb yaongezwe, pesa za nhif wakajengee majengo udom na hayo majengo wakae wao kwa kisingizio cha kuhamia dodoma na wanetu waachwe wajifie kwenye school bus mbovu, hapana hili hatukubaliani nalo.
thanks kwa kueleWA HILO mtu mZMA MWENZANGUKufiwa na mtoto, mke, mume, Baba na Mama ni misiba mikubwa sana. Pole sana Mkuu.