Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Engeneer mbona huna akil asee,unaiaibisha fani yetu.Kila nafsi itaonja umauti
Kifo hakikimbiwi swahiba
Hata ukikaa ndani kama umepangiwa kufa utakufa tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Engeneer mbona huna akil asee,unaiaibisha fani yetu.Kila nafsi itaonja umauti
Kifo hakikimbiwi swahiba
Hata ukikaa ndani kama umepangiwa kufa utakufa tu.
Akil za kimaskin,..et ajal haina kinga.Acha kauli za matusi mkuu, ajali haina kinga, hata ukiwakataza ziada bado wanaenda shule kwa gari dereva wao anaweza kuendesha vizuri lakini lori likawapamia, hata ukuta waweza kuwaangukia tu....
Tumshukuru Mungu kwa yote
R.I.P.ALL
R.I.P.ALL
Uzembe wa dereva,af et mtu anakuja ooh ajal haina kinga,us..nge kweli,..ajali zna kinga,mbona kuna nchi ajali ziko minimum had raha,..y wanaweza,..si miujiza wala mapenz ya mungu.dereva huyu jamani
Usipaniki mkuu!Kama kuna uzembe ni adhab kali,af hiz shule bas tuu,yan nalipa mil2 kwa mwaka primary af mniwekee mwanangu kwenye gar imejaa namna hii,akat hela ya transport nalipa,ni ajali ila kama kuna uzembe anyhow,lazma wawajibishwe,china kule tunanyonga uzembe kama huu...asee idad ni kubwa asee,sio kawaida,lazma sheria ionyeshe makucha hapa,hatutak us...nge kabsaa
Fikra za kimaskini,..hakuna cha ajal ni ajali,uzembe huleta ajali period..na hyo shule watalipa nakwambia,..mnasafirisha watoto mmewajaza hivo na spid kal na mvua hiz?af mseme ni mapenz ya mungu,..walah tunakula sahan moja,mzaz nilipe ada mil2 ,na transport nilipe af mjaze watoto na bus bov hlo lina fail break,Ajali ni ajali,uwe mwenyewe au kundi. Kinachotakiwa ni kumwomba Mungu tu. Kila mtu ataondoka kwa njia yake,uwe kwenye gari au la.
Mwenyezi Mungu awape faraja wafiwa na majeruhi
Wapumzike kwa amani ya mwenyenzi Mungu
Acha hizo wewe,hayo umeyaona kwa kuwa ajali imetokea ,lakini shule ilipofaulisha watoto haukuuliza hayo,waache watoto wapumzike kwa amani huko waliko na ukae ukijua kuwa kila kifo kinasababu yake ,hata wewe hapo ulipo hata kama umejipumzisha kitandani kifo kinaweza kukuchukua muda wowote na lazima kutakuwa na sababu ya hicho kifo.Alafu nilimuona kwenye TV Afisa elimu anasema hakuwa na taarifa ya hiyo ziara ya hao wanafunzi tena anasikitika sasa nikajuiliza kama wangempa taarifa hiyo ajali isingetokea?.RIP watoto wetu.Walimu Acheni tamaa na wakuu wa shule huko ni kujitafutia pesa haramu magari mabovu c ajabu hata. Vibari hamna Fuatili saana hilo Unajua ilikuwa ni tamaa YA pesa je kwenye kalenda yao YA shule hiyo ziara ipo?
KAMATI YA shule Afsa Elimu wilaya mkoa wanajua feki tupu ndio Maana coster watu 25lakinizaidi YA 35Sumatra kibali kipo? Njiani trafic hawapo kujaza kote huko
Usipaniki mkuu!
Jaribuni basi hata kufikiria kidogo.
Hao watoto ni wa darasa la saba na maumbo yao sio makubwa sana...
Walikuwepo kama 38 hivi na kwa Costa hiyo ni level ya kawaida kabisa kwa wanafunzi.
BTW wingi wao sio chanzo cha ajali...
Daaaaah inauma Sanaa jamaniiUmemlipia mtoto wako ada toka std 1 had 7 na huenda ndio tegemeo lako halafu ghafla unaletewa habari ya msiba. So sad!
Unaweza kutoa maana ya neno ajali?Fikra za kimaskini,..hakuna cha ajal ni ajali,uzembe huleta ajali period..na hyo shule watalipa nakwambia,..mnasafirisha watoto mmewajaza hivo na spid kal na mvua hiz?af mseme ni mapenz ya mungu,..walah tunakula sahan moja,mzaz nilipe ada mil2 ,na transport nilipe af mjaze watoto na bus bov hlo lina fail break,
Hivi kwa nini unampigia Shetani kifua kiasi hicho,au ni agent wake?Mkuu Mungu hawezi kufanya upuuzi wa namna hii.God is so loving,infact God is love.It's only the Devil who can do this nonsense.Kumbuka kwamba Mungu ndiye aliyetuumba kwa hiyo hana sababu yeyote ya kutuvizia na kutuua so mercilessly.He can take your soul or my soul when you are asleep,it is his after all.On the other hand,Satan does not own our souls kwa hiyo lazima atuvizie.Be very careful mkuu,kusema kwamba Mungu ndiye aliyeamua wafe namna hii while it is not true is an abomination.
Msi justify ujinga,..unalala bila net au unakula mzigo bila kinga ukifa unasema ajali.,,unaendesha gar huna vibal,gar mbov,haina service,huna uzoef,..hata akili ya kujua mvua imenyesha kwenye kona punguza mwendo huna,umejaza watoto 50 kwenye bus,..af unasema ajali?hyo shule tunakula nayo sahan 1,china unanyongwa uzembe kama huoUnaweza kutoa maana ya neno ajali?